Ngambo Ngali
JF-Expert Member
- Apr 17, 2009
- 3,517
- 1,367
Tamko la pinda au waziri mkuu yoyote huwa halina nguvu ya kisheria. Kwa hiyo mtu anaweza kuamua kufuata au la na ukikiuka hutakuwa umevunja sheria.
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.
Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
Zaidi soma -> Pinda aelemewa mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
Mungu yupi? Yule mtoto ama baba yake au yule Mungu kivuli asiyeonekana? Maana huyo roho mtakatifu huwa ananong'ona na wachungaji tu.
Wakristu tukiendelea kupingana na waislamu tutaonekana akili zetu ni kama zao. Tuachane nao
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Inasemekana Quran ilishushwa na alishushiwa Mohamed, (sijui ilishushwa kutoka wapi labda juu ya mti au mlima) na inasemekana 'ilishushwa' miaka 500 baada ya kristo na wakati huo wanadamu walikuwa wanachinja na kula nyama bila kuelekezea kibraMi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
Hivi nyie maotaka kuchinja mnajua maana ya kuchinja. nyie mnataka kukata sio kuchinja. Sababu Mkirsto Yeyote wajui kuchinja sasa nataka kila anae lalamika atuambie ana semaje katika kuchinja na akitokea mimi naingia katika ukrsto hata leo. nyie hamjui chochote .
KWA HIYO KABLA YA IYO DINI YA ISLAM NANI ALIKUWA AKIWACHINJIA WAKRISTO?:A S thumbs_down::A S thumbs_down::A S thumbs_down:
wewe kweli umenena. Hawa ni kuachana nao tu.
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!
Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !
Wagalatia mna mambo, miaka zaidi ya hamsini mmekula kwa kuchinjiwa na waislam, uvumilivu huu kwa nini umeisha ghafla? Au ndo janja ya Padri Slaa na chama chake cha kikatoliki Chadema kutaka nchi isitawalike? Makafiri mambo haya yatawatokea puani
punguza jazba malyenge ni vitu vya kawaida sana hivi!"common sense is common but is not common to every one"wewe kinaumiza nini hao watu kula kiti moto?????it seems that you are ignorant about bible and its better to ask those who are familiar with it!!!!!wewe una akili kama binadamu wengine kwahiyo sio kila unachojiskia wewe basi na mwenzako ajisikie vivyo hivyo!!!!!!! jiulize hayo makatazo yote yaliyopo kwenye biblia yalitokana na nini??kwa mfano kutoa sadaka kwa kuchinja wanyama kama ng'ombe, katika jamii yetu tunaweza tukachinja kuku kwa sababu ndio wanyama waliokua wengi katika jamii yetu ya tanzania........kwa jinsi hii basi hayo makatazo ya wanyama yalitegemea na mazingira!!!!!!try to understand the content and the context plus the circumctances........
Hilo si kweli. Kijijini ninakotoka hakuna waislamu, na miaka yote hadi leo hii tunachinja wenyewe. Nyumbani kwangu kuku wangu nachinja mwenyewe na wakati mwingine mke wangu anachinja tunakula. Nikiwa na sherehe ndipo namkaribisha mwislamu achinje ili wageni wangu waislamu waweze kula. Na zile ninazonunua sokoni nadhani zinakuwa zimechinjwa na waislamu ili nao waweze kununua. Kwa hiyo sahihisha usemi wako. Waislamu katu hawawachinjii wakristo wanyama maana mkristo hahitaji huduma ya kuchinjiwa. Waislamu wanachinja kwa ajili yao wenyewe maana sharti la utaratibu wa kuchinja linawahusu wao.
Unauliza uvumilivu huu kwa nini umeisha? Mbona jibu unalijua? Hivi mchungaji akitaka kuchinja kwa ajili ya matumizi ya waumini wake anahitaji ruhusa ya waislamu kwa sababu gani? Uvumilivu tumevumilia lakini sasa naona wenzetu mnatutaka tufanye zaidi ya uvumilivu, na hapo ndipo kamba ilipokatikia.
Ya Zanzibar tumeyaona, na kama ndiyo unayosherehekea kwa kusema "Makafiri mambo haya yatawatokea puani", sawa, kama na wewe huna pua basi yatakutokea popote kwingine.
Sasa nyie kama mnang'ang'ania kuchinja chinjeni mle nyie na wanaotaka kula watawafata ni sie acha tuchinje vyetu wanaotaka watakula yanini mtulazimishe kula nyama yenu ya mapepo?acha tujichinjie na tule vyetu na nyie mle vyenu mlivyochinja na sadaka zenu za mapepo.