Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Heheheheheh tutaanza kula iliyochinjwa na mkristo, hatuko tayari kushiri ibada isiyotuhusu na nikipanda emirates ambako vyote ni halaal nitajinywea juice na biscuits mpaka mwisho wa safari, kama noma na iwe noma! Its ON !
 
wakati wenzetu wanajadili jinsi ya kutunyonya zaidi uchumi wetu sisi tunajadili nani achinje nyama ama kweli umaskini ni kitu kibaya sana yani tunafikia hadi kuuana kisa kuchinja nyama natamani tungerudia enzi hizo hizo za kabla ya hizi dini zote!!!!!!kila mtu ajiulize mimi ni nani mbele za mungu na binadamu wengine??????wote tunavuta oksijeni moja ikibidi tunakunywa maji yanayofanana,tunasafiri kwa kutumia magari yanayofanana,tuna vitu vinavyofanana.........................huu upekee wanaoutaka watu fulani unatokea wapi au kuna wengine hawajazaliwa kwamba wameshushwa tu??
 
Kama wewe kama ni mwenye koran baada ya kifo cha Muhamad wote waliokua wanaamini na kuijua hio koran waliuawa je waliobaki je ni akina nani. Na koran haukushushwa ni simulizi tu kutoka kwa wale waliokua karibu na Mohamad. Kama korani ingeshushwa basi wanaotumia au kugusa kitabu hicho wangeondokewa na matatizo yao au kwa ubaya wao wangelikufa. Neno Takatifu sio kitu cha mzaha. SOMA kitabu chako kielewe na kisha usome na vingine ili kumjua Mungu na sio utafute vijineno kutoka kwa kitabu cha wengine ili kuwakashifu, hiyo ni mbinu ya mwovu na watumishi wake., je utakubali ya kuwa imani unayoisimamia haijui? Tafuteni kweli kisha hiyo kweli itawaweka huru

Haaaah haaaah haaaaaah !
Mkuu unasema baada ya kifo cha MUHAMMAD hapakuwa na QURAN maana watu woote waliuwawa ?

Kama ndio mchungaji wako alivyokusimulia hivyo alikudanganya sanaa. Somaa AGANO LA KALE limemtaja MTUME MUHAMMAD mara nyingi sanaaa[/QUOTE]
Niambie sehemu gani agano la kale limemtaja marehemu muhamadi? Huyo muhuni mzinzi
 
Ndugu yangu Uislam ni Upendo na Amani.
Hao wengine utakubaliana na mimi hata huko wapo na mafano wao ni walokole.

Amani ya kukata watu mikono, kupiga watu mawe na kucharaza watu bakora???? Lini mmehubiri upendo nyie? Shehe gani huwa anahubiri upendo; mahubiri ya kina Ilunga ndio upendo wenu huo?

Give us a break!
 
Kitimoto ni uchafu unaoliwa na wachafu..so hamna question ya kuchinja kitimoto hapa..Wewe ukitaka pakia tu uchafu wako namna upendavyo nobody cares!
 
Mm sili iliyochinjwa na majini. Wao wanaabudu majini. Ss tunaabudu mungu wa kweli ambae hafundushi kisasi ugaidi chuki nk. Sina imani ya kishetani maana majini yanawapelekesha kila yatakayo. Na mtashindwa kwa jina la yesu. Kama mlivyoshindwa kielimu kimaendeleo. Kiimani
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?


Kiukweli ni kwamba nakubaliana na wewe kuwa ukristo sio dini, na hili suala la kumsingizia Issa Bin Mariam kuwa ni Mungu mimi linanisumbua akili yangu kwelikweli hivi hawa jamaa huwa wanafikiriaga kweli au kosa ni MUNGU KUMWAMBIA MARIAM KUWA ATAPATA MIMBA KWA UWEZO WAKE YEYE.
HVI KAMA IKITOKEA DADA YANGU AKAPATA MESEJI TOKA KWA MUNGU KUWA ATAZAA MTOTO,TUSEME HUYO ATAKUWA MDOGO WAKE YESU???
 
wakati wenzetu wanajadili jinsi ya kutunyonya zaidi uchumi wetu sisi tunajadili nani achinje nyama ama kweli umaskini ni kitu kibaya sana yani tunafikia hadi kuuana kisa kuchinja nyama natamani tungerudia enzi hizo hizo za kabla ya hizi dini zote!!!!!!kila mtu ajiulize mimi ni nani mbele za mungu na binadamu wengine??????wote tunavuta oksijeni moja ikibidi tunakunywa maji yanayofanana,tunasafiri kwa kutumia magari yanayofanana,tuna vitu vinavyofanana.........................huu upekee wanaoutaka watu fulani unatokea wapi au kuna wengine hawajazaliwa kwamba wameshushwa tu??

Chinga; Wewe kweli nimekukubali....Fikra pevu...
Tatizo letu ni udogo wa Mawazo Tunan'gan'gana na NYAMA nani achinje...Mpaka tunatoana Roho... Hizi NYAMA zitatupeleka mbinguni labda......Wenzetu wanan'ga'n'gana na technologia kwenda mbele..... Ni jambo la ajabu sana...Sasa huko wenzetu wanakotumia machine za kuchinjia ambazo hazina Imani inakuwaje?????? Na mkiwa huko mnakula hamuulizi..... Umaskini wa mawazo ni hatari saaana.
 
.Waendelee kutuchinjia na Nguruwe zetu wasiwe wanalia magengeni tu! Baada ya kutuachia tuzichinje wenyewe.

.wamepotoka kuamini kuwa waliruhusiwa tangu kipindi cha Ibrahim kwan aliyetangulia ni Mtakatifu YESU kuliko huyo aliyeanza utume baada ya kulizika na raha za dunia.
Yaweza ikawa kweli alikuwa mtume.lakini kwann usimuamin aliyethibitshwa na manabii hata kabla hajaja dunian?
USIPOAMINI UNAMATATIZO YA UBONGO.
 
Wapi alijitaja kuwa yeye ni muislamu? Lini alisisitiza watu kuua, kukata mikono ya wezi, kupiga mawe wazinzi/waasherati n.k? Mahubiri yake siku zote yalikuwa ni UPENDO na KUPONYA. Uislamu wenu uko hivyo?
Soma vizuri agano la kale kwani matatizo haya yanatokana na agano jipya, gazeti tolea la baada ya yesu. Gazeti hili hata yesu mwenyewe hakupata kuliona na halijui..!
 
Mkristu hafungwi kwa habari ya vyakula-mambo ya kimwili. Hata akichinja asiyeamini mkristu atakula tena kwa moyo wa shukurani. KATAZO PEKEE kwa habari ya vyakula ni kama vimetolewa kwa MAPEPO. Mkristu haruhusiwi kula chakula kilichotolewa kwa ibada za sanamu. Katika ukristu Allah ni pepo, huo ndio ukweli. Kwa hiyo nyama yoyote iliyochinjwa kwa jina na Allah - mambo ya rohoni - ni chukizo mbele za Yehova.

Mkuu Nyerere ukristo hauongozwi na kichwa chako, toa andiko linalomtaja ALLAH kuwa ni pepo nipate kukuamini... Sio unajaza pumba zako wakati ALLAH humjui.
 
Soma vizuri agano la kale kwani matatizo haya yanatokana na agano jipya, gazeti tolea la baada ya yesu. Gazeti hili hata yesu mwenyewe hakupata kuliona na halijui..!

Toa reference ya mstari kwenye agano la kale ambapo panataja neno Uislamu au panapomtaja Yesu akiwa muislamu!
 
Kama waislamu walishasema kuchinja kwao ni ibada, kwa nini kuendelea kulazimishama kushiriki ibada za watu wengine? Mimi nyumbani kwangu nitachinja mwenyewe! Waislamu wachinje kwenye hafla zinazohusisha majumuiko ya watu wengi wa dini tofauti. Kinyume chake huwezi kuniambia eti wakristo wawe na sherehe katika makanisa yao kisha wamtafute mwislamu kuja kuchinja. Tujaribu kuheshimiana kila mmoja katika dini anayoamini!!!
Pinda ni haki ayakoroge; ana hulka ya uongo na mshirika wa dhaifu JK kuiislimisha Tz. Lo lote na liwe watu wana uhuru wa kula nyama iliyochinjwa kwa imani yao. Sili makafara ya kuchinjwa kiislamu.
 
Yesu muislam my foot?? uislamu wa mwaka gani? Ndiyo matokeo ya kuhifadhi kuruani badala ya kuielewa.
Ndo maana sikutaka tufike huku kwa sababu tutakesha, umekunywa maji ya kanisa na kamwe hutaamini mahubiri haya matakatifu ninayokupa..!
 
Serikali haina dini baba!!!
Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Sijui unamaanisha Mungu yupi, Kama ni yule mnayemwita allah siye hatumtambui wala hana mamlaka nasi na wala maagizo yake hatuwezi kuyafuata.
 
Toa reference ya mstari kwenye agano la kale ambapo panataja neno Uislamu au panapomtaja Yesu akiwa muislamu!
Sinalo agano hapa nipe muda. Having said that twende kwenye maada ya msingi juu ya kuchinja na hapo pia sitaki tujadili mwenye haki ya kuchinja..! My question seeks a lasting solution over the dispute..! Hivi kipindi cha Nyerere nyama ilikuwa inachinjwa vipi for shared bucheries?
 
Back
Top Bottom