Mkoroshokigoli
JF-Expert Member
- Dec 20, 2012
- 14,593
- 5,587
Ubaguzi wa kidini umeshika kasi jf kazi ipo
Kuanzia lini Allah alisema yeye ni Mungu/ Tulee ushaidi wa Allah wako akisema yeye ni Mungu.
Wakati mwingine ukiwaangalia makafiri na uhayawani wao ni burdani na inakusaidia kukuzidisha imani !
sasa jaman waziri amekoroga nini hapo? Mimi ni mkristo na katika hili ningewaomba wenzangu kuwa na hofu ya mungu maana kwetu kuchinja hakuna maana yeyote mpaka kupigana uvumulivu uko wapi? Kama tukiachana na huu mtindo wa jino kwa jino naamin tukirudi ktk vitabu vyetu vinavyotutaka kutoa na shavu langine baada ya kupigwa kofi lilotangulia![/QUOTE]Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.
Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.
Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.
Zaidi soma -> Pinda aelemewa mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu
kwanza unapaswa kuelewa maana ya injili. Injili maana yake ni Habari njema tena kwa watu wote hata wewe muislamu ili ubadilike na kufuata Mungu wa kweli ambaye ni Yehova YahweIlete Injil ya Yesu basi kama unayo ?
Tuletee iliyo shushwa na Allah. Tuonyeshe ipo wapi?
Lini uligundua kuwa umepotea stepu kula nyama iliyochinjwa na walio amini !
Ipo ndani ya Qur'an: kuwa Yesu hakusulubiwa na aliwaambia Wayahudi 'Rabikum Warabakum !
Kuanzia sasa na hata milele!
Tuletee Injili ndani ya kolani bana. Sio longa longa za Msikitini pale Mtoro.
Haya ni maamuzi ya Pinda au makubaliano ya kikao?
Vipi huko nyuma ulikuwa hujapata maono ?.........milele utakuwepo ?
Haya jifunze Kolani uliyo karirishwa kwa BAKORA:
![]()
5. Leo mmehalalishiwa kila vilivyo vizuri. Na chakula cha walio pewa Kitabu ni halali kwenu, na chakula chenu ni halali kwao. Na pia wanawake wema miongoni mwa Waumini, na wanawake wema miongoni mwa walio pewa Kitabu kabla yenu, mtakapo wapa mahari yao, mkafunga nao ndoa, bila ya kufanya uhasharati wala kuwaweka kinyumba. Na anaye kataa kuamini bila shaka a'mali yake imepotea, naye katika Akhera atakuwa miongoni mwa wenye khasara.
Sasa weye mfuata dini ya Maarabu kwanini hauli kiti KATOLIKI?
........Rabikum Warabakum. !
Haya msome Allah wako akipa on things that are LOWER THAN HIMSELF!
Lets take a closer look:
"I swear by the daybreak, and By the ten nights (i.e. the first ten days of the month of Dhul-Hijjah), And by the even and the odd (of all the creations of Allah), And by the night when it departs. .."
sura 89/1-4
(I swear by) the heaven and the Morning Star -....
sura 86/1
Allah swears by - the steeds that run, with panting (breath),
sura 100/1 etc
In other places in the quran, Allah swears by the Sun, the Moon and the Zodiac signs!
WHY does an all-powerful God/('Allah') even need to 'swear' by his puny creation and the things that he had made??
IF Allah is GREATER than his created beings, it is ludicrous that He should actually make an oath (swear) by those things.
It shows that this Allah is actually not great and has to swear by things MUCH LESSER than himself! As all these suras show.
Hiyo dini ya kiti katoliki alikuletea nani ?
Si nilisema lazima utokwe pofhu, ha ha ha ha, huna ubavu wa kutonyesha Injili ndani ya Koran zaidi ya blah blah, Allah never and will never have Injil zaidi ya kuendeleza utamaduni wakusema longa longa Msome Allah wako hapa: But they (the Jews) were deceptive, and Allah was deceptive, for Allah is the best of deceivers (Wamakaroo wamakara Allahu waAllahu khayru al-makireena)! S. 3:54; cf. 8:30.
Do you see the problem ya kufuata GREAT DECEIVER