Naibili
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 1,878
- 1,062
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
mimi sasahivi sinunui tena nyama ya ng'ombe, kitu cha moto na kuku, kuku nnachinja mwenyewe, kitu cha moto chinjeni mimi ntakula