Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Mwanza: Pinda aagiza waislam kuendelea kuchinja...

Kwani huo utaratibu na mazoea uliwekwa na serikali?
Kama hawakuuweka wao, hawana mamlaka ya kutoa maelekezo ya kuendelea au kutoendelea na jambo ambalo haliwahusu.

Wewe mleta mada ni mchochezi na una matatizo, alipoharibu Pinda ni wapi? Mwanzoni alilaumiwa Wassira kwa kuwa alisema kuchinja ni Ibada kwa waislam, hivyo sio rahisi kwa Wakristo kushiriki ibada isiyowahusu. Mizengo amesema ni mazoea na utaratibu uliopo hadi hapo Serikali itakapo badirisha, sasa alipoharibu ni wapi? Mbona nyie Wakristo hamueleweki mnataka nini
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

Idiot. Kwa hiyo waislam walikuwepo tangu agano la kale? Do kumbe mohamad ni mzee wa long? Mi sukujua kabsa, haya mzee wa fix hebu tupe hayo maandiko kwa kuwa yetu ya Dodoma yanasema mmhamed ni chalii wa juzi tu.
 
Umbumbumbu wa wakristo ndo upo hapo..... Kwani Mungu wetu aliposema tuchinje sisi waislamu alisema ni kwa wanyama wote au alisema na kwa wanyama tuliohalalishiwa tu? mijitu mingine huwa inakurupuka hata bila kufanya utafiti. Uhovyohovyo huo ndo maana waislamu tunalalamika hatutendewi haki. Maana kama mtu anadhihaki kuchinja wakati neno kuchinja lina maana pevu kushinda uelewa wake ni yumkini kwamba akipewa kazi ya kutoa maamuzi hataweza kutenda haki. Watu wanasema Ibrahim alichinja katika biblia bila kujua kuwa alichinja kiislamu!!!! Na alikuwa muislamu!!!! Toa andiko kipindi cha agano jipya nani alichinja na kwa kutaja jina la mungu gani ili uhalalishe kutulisha mizoga!!!! Maana mkristo akichinja na nyama yake yote huwa ni nyamafu (Mzoga, kibudu sawa nba kinyesi tu).

Ibrahimu alikuwa mwislamu! Hizo ni hadithi za kutungwa. Haswa hadithi za kutungwa na mtume ambaye hakujua kusoma wala kuandika.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Mkuu acha kuleta mitazamo ya kichochezi. Inashangaza kwa great thinker kama wewe kuleta kauli za namna hii humu JF.Ni vizuri na busara tukatumia majukwaa kama haya kuelimisha umma kuhusu amani na kuheshimu dini za wengine kuliko kuchochea vurugu na udini. Amani tuliyonayo sasa ni lulu kwa hivyo tuilinde kwa misingi ya kuheshimiana.:amen:
 
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Zaidi soma -> Pinda ‘aelemewa' mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu

Waje basi wachinje na nguruwe maana wanapenda sana kuchinja...leo wamemchinja padre huko zanzibar. Kwani hayo maagizo "waliyopewa na huyo mungu wao allah" ni kuchnja hadi binadamu wenzao?? Nakuuliza wewe The Fixer unayetufix humu.

Last edited by a moderator:
Si muda mrefu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda amemaliza kikao chake na Masheikh pamoja na Maaskofu hapa Mwanza katika ukumbi wa BoT kuhusu nani achinje kitoweo.

Katika mazungumzo yake na waandishi wa habari waliotaka kujua msimamo wa Serikali kuhusu nani hasa mwenye uhalali wa kuchinja wanyama kati ya Wakiristo na Waislam, Waziri Mkuu, Pinda amesema mazoea ya tangu zama za kale yanayowaruhusu Waislamu kuchinja yaendelee hadi hapo maamuzi mengine yatapofikiwa na Serikali.

Ameagiza pia kuundwa kamati maalumu itakayohusisha pande zote mbili za Waislamu na Wakiristo, ambayo itashughulikia mgogoro huo, na kamati hiyo iundwe na kufanyakazi zake na kukamilisha haraka sana!.

Zaidi soma -> Pinda ‘aelemewa’ mgogoro wa nani achinje nyama | Fikra Pevu

Waje basi wachinje na nguruwe maana wanapenda sana kuchinja...leo wamemchinja padre huko zanzibar. Kwani hayo maagizo "waliyopewa na huyo mungu wao allah" ni kuchnja hadi binadamu wenzao?? Nakuuliza wewe The Fixer unayetufix humu.

Last edited by a moderator:
KUMBUKUMBU YA BURE.
.Yesu Mtakatifu wa kweli hakuwahi kubaka kama yule aliyebaka mtoto wa miaka sita ingali yeye alikuwa na miaka 58.
.YESU Mtakatifu hakuanza utume na miaka ya uzeeni kama yule aliyeanza baada kukaribia uzee.
.YESU Mtakatifu aliteua wanafunz 12 wa kumshuhudia anayoyatenda na kisha akawaambia wasubiri awaletee msaidizi Roho Mtakatifu atakayewaongoza kuyaandika aliyokuwa akiyatenda Mtakatifu wa kweli yawe ndiyo tuyapasayo kuyatenda wanadamu.

POLENI SANA WAZEE WA KUMEZESHWA SUMU NANYI KUZIAMINI BILA HATA YA KUZICHAMBUA.
 
Sinalo agano hapa nipe muda. Having said that twende kwenye maada ya msingi juu ya kuchinja na hapo pia sitaki tujadili mwenye haki ya kuchinja..! My question seeks a lasting solution over the dispute..! Hivi kipindi cha Nyerere nyama ilikuwa inachinjwa vipi for shared bucheries?

Nakupa muda unaohitaji, ila urejee hapa na majibu. Hata kama ni mwaka mzima baadae.

Shared butcheries waislamu waliachiwa wachinje (ni uungwana na hiari tu wa Wakristo). Sasa tumeambiwa SI HIARI TENA NI LAZIMA. Na kumbuka Buseresere nyama iliyochinjwa na Mkristo HAIKUPELEKWA kwenye shared butcheries, bali ILIKUWA INAUZWA KANISANI huku kukiwa na maelezo ya waziwazi kuwa nyama hiyo kachinja Mkristo. Kwa nini kuwe na ugomvi? Kwani waislamu walilazimishwa kununua hiyo nyama?
 
Unajua enzi zile jamaa walikua wakichinja wanakamata miguu shingo matumbo mikia nk ukiona vipi ndo unamtupia chochote sasa ikiamuliwa kila mtu ajichinjie ni sawa na kwapokonya maslahi!
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?
kaka nenda ukasoma Matendo 10: 12-15
 
Nashangazwa na kauli za viongozi wetu yaani wanaropoka mpaka unashangaa!
Kwanini hawapendi kufikiri japo kdg ndy waseme jambo unaposema Waislam waendelee kuchinja hapo mwanzo ilikuwaje?
Unajua haya mambo hayahitaji digrii kuyatatua.
 
Kwani sheria za nchi zinasemaje kuhusu ajira hii ya kuchinja machinjioni?
 
Napenda sana kitimoto na bata, nitakuwa nawaalika waislam wnichinjie bana.
 
Ukweli ni kwamba watu kuacha waislamu wachinje hauna uhalali. Lakini hawa ndugu zetu sheria kwao ni msamiati. Mazoea wamegeuza sheria. Wakati wa zamani wakati serikali iliamua kila kitu kama beberu lisilofuata sheria yoyote mkristo angekamatwa kwa kuchinja na ikaonekana kavunja sheria. Mtu akafungwa kwa vifungu vya ajabu ili kuwafanya tu waislamu waridhike kuwa aliyechinja kaadhibiwa.
Wasichokijua ni kuwa watu wasiokuwa waislamu wanawaona kama kichaa asiyejua ustaarabu wowote hivyo kumwacha apige kelele, atembee uchi na vituko vingine. Sasa huyu kichaa kwa kuachwa na wana wa ustaarab kwa kuwa hajitambui yeye kaona yuko sahihi kupiga kelele na kufanya vituko vingine.
Hivo ndivo watu wanavyoishi na waislamu kwa kutambua udhaifu wao wa kutojua ustaarabu wa kusikiliza na kujua upande wa pili usiohusiana na dini yao.
Sasa watu wanasema basi na huyu kichaa asiyejitambua wakati ukweli ni kuwa ni mtu mzima anayepaswa kujua ustaarabu kichaa kapandisha na anaongea lugha zisizoeleweka anazozijua yeye tu.
 
Mi hata sishangai kwani ni kitabu gani cha MUNGU kati ya TORATI, ZABURI, INJILI na QURAN ambacho kimeandika Mkristo achinje ? Na wapi (katika vitabu tajwa hapa juu ) wameandika kuwa UKRISTO ni dini ?

Kitabu hicho cha mwisho kukitaja ni cha Mungu lakini si cha Mungu wa kweli YEHOVA muumba mbingu na nchi!.....kwani alieletewa mara ya kwanza Mungu YEHOVA hakujitmbulisha kwake kama afanyavyo kila akimtokea mwanadamu.
Aliekileta alikabwa pangoni akaenda kumweleza mkewe, mkewe akasema huyo alikukaba ni malaika!! basi ikwa imani......
 
Vitabu vyoote vimeagiza MUISLAM achinjee kwani yeye ndiye mwenye kibali kutoka kwa MUNGU na pia wamefundishwa wakichinja wasemeje..!

Soma Agano la kale utapata majibu
Sio maandiko yenu yanayochapishiwa Dodoma hayoo !

kaka tueleweshe, hii dini ya kiislamu iliyokuja wakati dini zingine zilishatangulia nani alikuwa anachinja? au Mungu alisahau mpaka 660AD? hebu jisomee Mwanzo 9: 3-4 na 1Wakorinto 10:27-29
 
Nakupa muda unaohitaji, ila urejee hapa na majibu. Hata kama ni mwaka mzima baadae.

Shared butcheries waislamu waliachiwa wachinje (ni uungwana na hiari tu wa Wakristo). Sasa tumeambiwa SI HIARI TENA NI LAZIMA. Na kumbuka Buseresere nyama iliyochinjwa na Mkristo HAIKUPELEKWA kwenye shared butcheries, bali ILIKUWA INAUZWA KANISANI huku kukiwa na maelezo ya waziwazi kuwa nyama hiyo kachinja Mkristo. Kwa nini kuwe na ugomvi? Kwani waislamu walilazimishwa kununua hiyo nyama?
Mbona everything was clear na hakuna tatizo that means hii case haina kichwa wala miguu..! Sasa hao waislam walioanzisha ugomvi walipatiwa nafasi ya kupimwa akili? To me they have a twisted mind.!
 
Back
Top Bottom