MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,

Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota tano kwa 20,000/=badala ya 200,000/=

Na kufanya vikao vyetu vya harusi kwenye kumbi Nzuri kwa gharama tunazozimudu.
Nchi hii ni yetu sote.
Jpm shikilia hapohapo.
kama vigogo wameshindwa wewe raia hiyo buku 2 utaipata wapi ?unasifia magu kushika mpini je umekunywa chai.


swissme
 
Sasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeye
Mkuu mbona maisha yanaendelea,

Kilichobadilika ni aina ya maisha tuiyoyazoea ambayo yalitegemea Pesa za serikali.tena zisizo halali,

Inasemekana walikuwepo wasiogusa hata mishahara yao,hawa unategemea waliishije wakati huo na sasa wanaishije?

Lazima wapunguze matumizi yasiyo ya lazima.

Lakini Leo kama ulilima mahindi ukavuna vizuri Gunia la mahindi sasa hivi ni tsh. 95,0000/=ukiwa na Gunia 20000 unapata kiasi gani?

Uchumi unarudi kwenye uhalisia.

Tujipange msimu wa kilimo umekaribia twende shamba.
Mwakani tuongee lugha nyingine.
 
Miafrika mijinga sana. Inafurahia anguko la wengine wakati watakaoteseka ni hao hao ndugu zao maskini.

Wafanyakazi watapoteza kazi. Ile hata trickle down ya uchumi ambayo inamfikia hata wa chini hamuijui.
Tajiri mmoja akitikisika. Mamia ya maskini wanaumia.

Tajiri atatafuta tu njia nyingine za kuishi na kupata fursa zingine. Je hao maskini ndugu zetu?
Huyo sio mfanya biashara ni mdaiwa sugu wa pesa za bank , hakuna mtikisiko hapo.
 
kama vigogo wameshindwa wewe raia hiyo buku 2 utaipata wapi ?unasifia magu kushika mpini je umekunywa chai.


swissme
Nchi inarudi kwenye uchumi halisi unaotegema kazi uliyofanya ndio upate kipato,
Uchumi feki wa kutegemea Mzunguko usitokana na uzalishaji mwisho wake umeshafika.
 
Hali ya uchumi ni nzuri tu, watu wasibweteke, wafanye kazi za halali na kwa bidìi, maisha yatakuwa ni mazuri tu kwa kutekeleza haya niliyoyasema!!!
 
Hiyo hotel imejengwa juu ya makaburi ya kitangiri, usiku wateja wanakabwa na mashetani, labda atakayeinunua aifanye kanisa la walokole
mh
....hii nayo mpya??...nan alimuuzia kiwanja chenye makaburi??
 
Hiyo hoteli ni 5 Star?
What a hell?

Hiyo si restaurant tu?
Wasukuma bhana,hoteli yoyote ya ghorofa mnaita Five star,nendeni shule msome na kuelewa si kukatiri
 
Kuna tajiri anaitwa masanja mawenge aneinunua hiyo hotel na kasema ataibomoa ajenge kitu kipya, anasema ramani yake ya kishamba
 
Kuna tajiri anaitwa masanja mawenge aneinunua hiyo hotel na kasema ataibomoa ajenge kitu kipya, anasema ramani yake ya kishamba
[emoji15] [emoji15] [emoji15] what??????
 
Back
Top Bottom