MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

Sasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeye
Ningeelewa hoja yako kama hizi hotel zinazouzwa zinakosa wateja wa kuzinunua.

Hizi hotel zilijengwa kwenye uchumi feki wenye matajiri feki.

Kwa sasa gharama zinazotumika kuzinunulia ndizo zilitakiwa ziwe gharama za ujenzi wake.

Hii inaitwa back to real economic activities.
 
tai_five_1.jpg
tai-five-hotel-6152-9ea01a0ba0902359149aa652b7159a1a4db139aa.jpg
upload_2016-11-19_18-48-8.jpeg
upload_2016-11-19_18-48-20.jpeg
upload_2016-11-19_18-48-20.jpeg
upload_2016-11-19_18-48-8.jpeg
tai-five-hotel-6152-78a211b84f25386d44a747b5323f44585095c8eb.jpg
 
Miafrika mijinga sana. Inafurahia anguko la wengine wakati watakaoteseka ni hao hao ndugu zao maskini.

Wafanyakazi watapoteza kazi. Ile hata trickle down ya uchumi ambayo inamfikia hata wa chini hamuijui.
Tajiri mmoja akitikisika. Mamia ya maskini wanaumia.

Tajiri atatafuta tu njia nyingine za kuishi na kupata fursa zingine. Je hao maskini ndugu zetu?
 
Hii inakuwa hoteli ya pili ninayoifahamu kufikia hatima ya kupigwa mnada kutokana na mkopo wa bank:
TAMAL HOTEL-Mwenge, Dar es Salaam; na
TAI FIVE HOTEL, Bwiru Mwanza.

Je ni kwa sababu wenye mali hawakuwa na ujuzi wa kuutumia mkopo; au deni la mkopo lilikuwa linalindwa kijanja kijanja / kisiasa na hivyo sasa kinga hiyo haipo???
 
Una matatizo sana....kila kitu kikifanyika mwanza unaponda huku uki compare na Arusha...mwisho wake inakuwa chuki na kutukanana tu bila maslah yeyote....sijui umetumwa, hakuna relationship kat ya unachoandika na Uzi huu...
Mkuu hakuna mahali kwenye huu uzi nime-compare Mwanzs na Arusha..Acha kunizushia..


Anyway...Lile jengo la mall ili kulinusuru waruhusu wamachinga wapange vitu vyao mule ndani..
 
Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,

Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota tano kwa 20,000/=badala ya 200,000/=

Na kufanya vikao vyetu vya harusi kwenye kumbi Nzuri kwa gharama tunazozimudu.
Nchi hii ni yetu sote.
Jpm shikilia hapohapo.
Yaani siku hizi ukienda na mama journior kuulizia room 5* wanakupunguzia kutoka 250k hadi 50k kwa night. Mama jounior atakuona bonge la mtu kumbe mdololo/mdororo wa uchumi
 
Huko Mwanza kuna vyuo vyenye wanafunzi wa kuishi kwenye hiyo hosteli?



Sijui kwa kweli, au afanye apartments! Maana bila hivyo hakuna wa kununua, hazina kazi ni majanga!
 
Daah asee yule mangi wa Tai five hotel Naona crdb wanamsomesha Number kimya kimya, hua ana bureau de change pale mwz pia.
 
Ndo maana ipp majuzi Kati hapa wali bid pesa kidogo kwenye ununuzi wa mount meru hotel hapa chuga, washanusa harufu ya kuisoma no. Kimya kimya kwenye biashara ya hotel.
 
Hii inakuwa hoteli ya pili ninayoifahamu kufikia hatima ya kupigwa mnada kutokana na mkopo wa bank: TAMAL HOTEL-Mwenge, Dar es Salaam; na TAI FIVE HOTEL, Bwiru Mwanza. Je ni kwa sababu wenye mali hawakuwa na ujuzi wa kuutumia mkopo; au deni la mkopo lilikuwa linalindwa kijanja kijanja / kisiasa na hivyo sasa kinga hiyo haipo???
Ongeza landmark hotel hapo
 
Back
Top Bottom