Mwanahabari Huru
JF-Expert Member
- Mar 9, 2015
- 14,243
- 34,903
CHASO MKOA MAALUM WA MWANZA WAMEANDAA MKUTANO MKUBWA KESHO KUANZIA SAA 3 ASUBUHI TAI FIVE HOTEL JIRANI NA OFISI YA KANDA KONA YA BWIRU. WATAKUWEPO VIONGOZI WA KITAIFA (MWENYEKITI BAVICHA) NA VIONGOZI WENGINE. WATAKUWA WAKIZUNGUMZA NA VIJANA WA VYUO VIKUU VYOTE VYA MWANZA NA BAVICHA WOTE WA ILEMELA NA NYAMAGANA. UPATAPO UJUMBE HUU MTUMIE NA MWINGINE. KARIBU TUTOE HOJA ZA KULIJENGA TAIFA.