TZ bby
JF-Expert Member
- Nov 5, 2016
- 229
- 139
Kwa mishahara ya wakina pater bola wafunge tu maana unakuta bonge la hotel ukisikia mshahara wake unakufa hapo hapoSasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeye