idudumo
Senior Member
- Nov 16, 2016
- 188
- 343
Atakapo kugusa kwenye ulaji wako ndipo utakamjua vzr, nilikuwa na tabia kama yako lkn alipogusa ulaji wangu niijua maumivu yake na kamwe sitashangilia mtu kuharibiwa ulaji wake.Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,
Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota tano kwa 20,000/=badala ya 200,000/=
Na kufanya vikao vyetu vya harusi kwenye kumbi Nzuri kwa gharama tunazozimudu.
Nchi hii ni yetu sote.
Jpm shikilia hapohapo.