MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo.

Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza.

Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kwahiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.

View attachment 436809
Hiyo ni stori kua anaisoma namba ndio mmekariri,huyu jamaa anasumbuana na crdb cnc 2011 kwa kushindwa kurudisha rejesho,kuuzwa kwake ni deni la mda mrefu
 
na bado trump mtoa misaada hajaingia ikulu..

ameshasema misaada hakuna...kitu usaid wanasepa.. hadi arv mtanunua wenyewe...

hapo magufuli atabana matumizi mpaka basiiiiiiii...

hiii trellla ngoja trump azame mjengon january
Sasa wewe kinachokufurahisha ni nini
 
Miafrika mijinga sana. Inafurahia anguko la wengine wakati watakaoteseka ni hao hao ndugu zao maskini.

Wafanyakazi watapoteza kazi. Ile hata trickle down ya uchumi ambayo inamfikia hata wa chini hamuijui.
Tajiri mmoja akitikisika. Mamia ya maskini wanaumia.

Tajiri atatafuta tu njia nyingine za kuishi na kupata fursa zingine. Je hao maskini ndugu zetu?
Africans' are cursed
 
Tayar mshana alimaliza
 
Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,

Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota tano kwa 20,000/=badala ya 200,000/=

Na kufanya vikao vyetu vya harusi kwenye kumbi Nzuri kwa gharama tunazozimudu.
Nchi hii ni yetu sote.
Jpm shikilia hapohapo.
Moja ya Watu wenye fikra Kubwa
 
Mkuu umeongea point,wakati wetu siyo,sasa wao walibweteka na zile Invoice za Kufoji unakuta MTU ajalala hicho chumba lakini invoice inalipwa.Well-done Mr presida
 
Back
Top Bottom