Ndachuwa
JF-Expert Member
- Mar 8, 2006
- 6,268
- 4,585
Tat
Tatizo hapa wala si wateja bali ni kugharamia mali ya muda mrefu (long-term assets) kwa mtaji wa muda mfupi (short-term borrowings i.e less than five years). Asset kama hii inatakiwa igharamiwe na Tanzania Investment Bank kwa mkopo usiopungua miaka 20. Unapochukuwa mkopo wa miezi 36 au 60 kugharamia mali ya muda mrefu wa kama miaka 50 lazima mapato ya hiyo asset itashindwa kulipa huo mkopo
Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo.
Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza.
Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kwahiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.
View attachment 436809