FORCE NAMBA
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 937
- 328
Mambo yatakuwa mazuri zaidi
Unachosema ni kweli tupu, haya mabenki yamekuwa yakiwaibia wateja wao, unampa mtu mkopo aanze kurejesha baada ya mwezi yaani hata huo mkopo haujauchukua benki unaanza kurejesha na riba, mbaya zaidi wanakupa mkopo katika muda watakaopenda wao, muda mwingine wanakupigia simu wakati ulishakata tamaa ya huo mkopo na mipango ulishabadilisha.Tat
Tatizo hapa wala si wateja bali ni kugharamia mali ya muda mrefu (long-term assets) kwa mtaji wa muda mfupi (short-term borrowings i.e less than five years). Asset kama hii inatakiwa igharamiwe na Tanzania Investment Bank kwa mkopo usiopungua miaka 20. Unapochukuwa mkopo wa miezi 36 au 60 kugharamia mali ya muda mrefu wa kama miaka 50 lazima mapato ya hiyo asset itashindwa kulipa huo mkopo
Atakaye inunua atafanya ubunifu wa mauzo mfano ataboresha huduma na kuweka bei rafiki kwa watu wa kawaida.Sasa atakayeinunua atafanya biashara gani kama mambo ndio hayo?
Jambo ambalo yeye alishindwa, siyo?Atakaye inunua atafanya ubunifu wa mauzo mfano ataboresha huduma na kuweka bei rafiki kwa watu wa kawaida.