Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo. Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza. Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kawhiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.
Hata hao wanafunzi watawapata wapi maana wengi hawana mikopo. Inasikitisha sana hali ilivoHahah mbona umeshtuka mamdogo? Hapana ile haijauzwa ila imegeuzwa hostel ya wanachuo ila inapoelekea ni kuuzwa tu Mkuu
Hakuna namna!!!Hostel kama Landmark!
landmark haijapigwa mnada bali mmiliki kaigeuza hostel ya wasomi wa udsmLooh, na LANDMARK HOTEL ya Riverside nayo imepigwa mnada??? Sikuwa na taarifa hiyo, this is news!!! Nani kainunua??
Unaweza kununua na kubadili matumizi. Kuna yule aligeuza hostel.Itafika mahali watu wataanza kujiuliza nikinunua na mimi nini itakuwa hatima yangu kwa hali hii ya uchumi tuliyonayo?
Kweli kabisa..kama walivyogeuza Rock City mall sehemu ya kupigia picha..Ile itakua ni kwa ajili ya kupigia picha za selfie, Instagram kwa wanafunzi wa cbe, si unajua tena cbe sio mbali kutoka kwenye Hilo jengo.
Sasa atakayeinunua atafanya biashara gani kama mambo ndio hayo?
Hii ni Hotel Mwanza... Lodge Arusha na Dar
Hahahahahaha daahMkuu hakuna mahali kwenye huu uzi nime-compare Mwanzs na Arusha..Acha kunizushia..
Anyway...Lile jengo la mall ili kulinusuru waruhusu wamachinga wapange vitu vyao mule ndani..
Ni nani mkuuHotel ya rafiki yake Kikwete kwanini asimsadie mwenzie?...................
Waasisi Wa wizi Wa kura 2010....
Hulka ya masikini au wasiokua nachoHulka ya binadamu wengi ni kufurahia anguko la wengine
Mkuu. Kuna concept moja kwenye uchumi inaitwa multiplier effect, naona watu wengi wanaoshabikia hizi biashara kuyumba hawaielewi. Sasa subiri maumivu yamfikie huyo "mtu wa kawaida" ndio watu wataanza kusaga meno. serikali ya jirani zetu kenya walijaribu hii kitu ya kunyanyapaa sekta binafsi. Ndani ya miezi michache uchumi wao ukaanza kuyumba..mapato ya kodi yakaanza kushuka. Uzuri rais kenyatta hua hachelewi kubadili gia akiona amekosea...akaruhusu tena serikali kutumia huduma binafsi..na ndio kilichowaokoa. Sasa sisi badala ya kujifunza kwa wenzetu...tunataka kurudia makosa yao. Ngoja tu sasa tuone...tuombeane uhai tu.Sasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeye
Yaani wewe acha tu kazi tunayo