MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

Nazareti

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2016
Posts
413
Reaction score
443
Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo.

Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza.

Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kwahiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.

TAI 5.gif

Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,

Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota tano kwa 20,000/=badala ya 200,000/=

Na kufanya vikao vyetu vya harusi kwenye kumbi Nzuri kwa gharama tunazozimudu.
Nchi hii ni yetu sote.
Jpm shikilia hapohapo.
 
Inavyoonekana biashara nyingi zilizotegemea serikali kama Mteja mkuu zitaendelea kufungwa kama waendeshaji wake hawatajiri idara mpya ya masoko itakaotafuta wateja wa kawaida,

Sasa ni zamu yetu wananchi wa kawaida kulala kwenye hoteli za nyota kwa 20,000/=badala ya 200,000/=
Sasa ndugu, sekta binafsi inapotetereka huyu mtu wa kawaida unayemsema anakuwa na hali gani? coz kuna mengi yanayofuata kukosekana ajira, kupungua mzunguko wa fedha nk. Tajiri hana shida atabadili namna ya uwekezaji na kuchagua utaomfaa yeye
 
Kweli mkopo ni mzuri na ukijua kuutumia utatajirika. Ila biashara yako ikienda kombo utauchukuia mkopo. Hapo kesho mida ya saa 4 asubuhi kutakuwepo na mnada utakaohusisha uuzwaji wa Tai Five hotel iliyopo karibu na kona ya Bwiru Jijini Mwanza. Sijui huyu ndugu naye anaisoma namba maana siku hizi mikutano na semina za serikali hazifanyikii tena mahotelini; kawhiyo hali ya kibiashara hasa mahoteli makubwa ni mbaya.

Tuma picha tuithaminishe
 
Sasa atakayeinunua atafanya biashara gani kama mambo ndio hayo?
 
Back
Top Bottom