MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

MWANZA: Hotel ya Tai Five yapigwa mnada

Hiyo hotel imejengwa juu ya makaburi ya kitangiri, usiku wateja wanakabwa na mashetani, labda atakayeinunua aifanye kanisa la walokole

Si kwel hata kidogo huwa nalala tv 5 mara nyingi tu sijawahi kupatwa na usemalo wala kusikia mteja akilalama hii hotel imekuwa under receivership for mire than five years nashangaa benk walichekewa wapi
 
Ipigwe tu ndo wahujumu uchumi hao ilikuwa
 
pole sana mmiliki..Sijui saivi una hali gani dah inasikitisha sana.
 
Tabu walioanzisha mahoteli haya walizoea kuletewa biashara na kujiona wanapesa, hawajajituma kujiongeza katika kuendesha mahoteli au biashara zingine kuwa inabidi uwekeze na kutumia pesa kupata pesa zaidi.

Sasa mnaosema watu wanafurahia kwa hawa ambao wamezoea pesa ya serikali kuishi, mnakosea sababu wao na wengine wengi wanajua ilikuwa pesa ya wananchi wanakula kwa hata kuongezeana bila kujali maisha ya wananchi.

Kama na hawa ni wale wale waliokuwa wanakula vya dezo, ni bora tu.

Mkienda kwa benki mkinyimwa mikopo mnalalamika na hawa ndio wanatumbua tu na kuficha mengine.
 
Kama anayeiuza ameona biashara ya Hotel ni mbaya, huyo anayeinunua anaitaka kwa ajili ya kufanyia nini ?

Kama watu mifukoni hawana pesa huyo atakayeinunua atatumia MAWE ?

Watu wana pesa wewe tu kutwa kuchwa uko kwenye maandamano utapata wapi mtonyo.
Kama huna akili timamu kaa kimya!! Au nenda kule kwenye kambi yenu mirembe Dodoma
 
Duuuh....!!!!!
Inateterekaje, yaani huyo mmiliki kutetereka ndio sekta binafsi imetetereka ?

Hotel inanunuliwa na mtu mwingine na inaendelea kuajiri watu vile vile.

Au unafikiri mtu anannunua afugie mbuzi.
 
pole sana mmiliki..Sijui saivi una hali gani dah inasikitisha sana.
Lazima atakuwa na mawazo, chezea mkopo wewe, alishindwa kuiendesha kitambo kidogo, sijui Crdb walikuwa wanamsikilizia, sasa alivyoingia ngosha ndio kaharibu kila kitu, Crdb wameona isiwe tabu, wauze wachukue chao
 
Hiyo hotel imejengwa juu ya makaburi ya kitangiri, usiku wateja wanakabwa na mashetani, labda atakayeinunua aifanye kanisa la walokole
Kwa hiyo dr.Ndodi naye alikua anakabwa kila akija pale mwz kwenye shughuli zake?cha ajabu alikua hakomi kufikia kwenye hotel hio.
 
Kuna msukuma mmoja tajiri wa ng'ombe huko kahama aliinunua shule moja ya secondary ya rocken hill miaka ya zaman kidogo halafu akawa anataka kufugia ng'ombe zake kwenye hayo majengo hataki habari za shule wala nini,serikali ilingilia kati sijui waliishia wapi wale.Itabd haya mahoteli yanayouzwa wasukuma wayanunue afu wafugie mifugo tu.
 
Lazima atakuwa na mawazo, chezea mkopo wewe, alishindwa kuiendesha kitambo kidogo, sijui Crdb walikuwa wanamsikilizia, sasa alivyoingia ngosha ndio kaharibu kila kitu, Crdb wameona isiwe tabu, wauze wachukue chao
Asee Kipindi hicho huyu jamaa wa T5 anapewa huo mkopo na crdb, ma mangi wengi wengi sana crdb iliwapatia mkopo kipindi hicho na waliinuka kwa sana tu na wakawa ma taita pale mwanza.
 
Mkuu. Kuna concept moja kwenye uchumi inaitwa multiplier effect, naona watu wengi wanaoshabikia hizi biashara kuyumba hawaielewi. Sasa subiri maumivu yamfikie huyo "mtu wa kawaida" ndio watu wataanza kusaga meno. serikali ya jirani zetu kenya walijaribu hii kitu ya kunyanyapaa sekta binafsi. Ndani ya miezi michache uchumi wao ukaanza kuyumba..mapato ya kodi yakaanza kushuka. Uzuri rais kenyatta hua hachelewi kubadili gia akiona amekosea...akaruhusu tena serikali kutumia huduma binafsi..na ndio kilichowaokoa. Sasa sisi badala ya kujifunza kwa wenzetu...tunataka kurudia makosa yao. Ngoja tu sasa tuone...tuombeane uhai tu.
Ujumbe umefika kwa walengwa,mie napita tu
 
Back
Top Bottom