mwanawao
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 3,228
- 5,902
Miafrika mijinga sana. Inafurahia anguko la wengine wakati watakaoteseka ni hao hao ndugu zao maskini.
Wafanyakazi watapoteza kazi. Ile hata trickle down ya uchumi ambayo inamfikia hata wa chini hamuijui.
Tajiri mmoja akitikisika. Mamia ya maskini wanaumia.
Tajiri atatafuta tu njia nyingine za kuishi na kupata fursa zingine. Je hao maskini ndugu zetu?
Ndugu IQ za baadhi ya waafrika haswa watanzania ni ndogo kama sisimizi. Wanafikiri atakayeumia ni anayeuziwa hotel wakati uhalisia jamii ndo itaumia. Zipo ajira kibao za watu walikuwa nazo hapo zimekatika. Waliokuwa wanauza vyakula na vitu vingine hawatauza tena, kwa ujumla chain ni ndefu.
Kwa ujumla wachawi ndo walio na roho mbaya na chuki pale wanapoona mwenzao wanafanikiwa. Na wanatamani kufanya hata ulozi wao waharibu biashara au kuua kabisa ili usisonge mbele. Kwenye jamii wachawi wapo na mara nyingine ni vigumu sana kuwafahamu.
Sasa wengine wanaonyesha makucha yao ya KICHAWI kama hawa wanaofurahia mwenzao kupata hasara. UKIMUONA MTU ANAYEFURAHIA MWENZAKE KUPATA HASARA AU KUINGIA KWENYE MATATIZO KAA NAYE MBELI SANA.