FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,881
- 109,192
kumbe huwa anachabo humu? Bora mie sijamtakia mabaya. Kipenzi chako faiza foxy anakuwakilisha vyema jukwaani
Mwandosya karudi na wengi walikuwa wanombea asirudi na mwenyewe kasema huko kuna waliokuwa wanamuombea arudi kwenye Jeneza, jiulize ni kina nani hao? "kama aliemnukuu kasema kweli". Sisi tunamuombea salama na tunauhakika, madudu yatashughulikiwa.