Speaker
JF-Expert Member
- Aug 12, 2010
- 6,324
- 2,238
Rome was not built in a day, nyie mnajuwa huko India hata nchi za magharibi wanaenda kutibiwa?
India wako kwenye mkakati wa kufanya health care industry kuwa ni moja kati ya vyanzo vikubwa vya pesa za kigeni.
Sisemi tubweteke, la hasha, nasema wakati tunaendelea kuboresha huduma zetu tusiwache kuwapeleka wagonjwa wetu nje kama ndiko matibabu yao yanapatikana. Nayo pia ni njia moja ya kufanya hospitali zetu zilete ushindani.
Huo usemi ni wa kipuuzi sana.
Eti twendelee kuboresha,...
Kila kitu twendelee kuboresha,ndani ya miaka 50?
Wakati tunapata uhuru tulikuwa sawa kabisa na india kama sio zaidi yao.
Nambie tulicho "boresha" hata kimoja kinacho watoa watu nje kuja Tanzania kukifata.
Uwe great thinker,usinambie wanakuja kuchukua madini au minofu ya samaki.