Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?

Akifungwa atakuwa kaonewa?
Mzee kikwete aliwahi kusema wanafunzi wanaviherehere wanajilengesha
 
Licha ya Sheria lakini bado tu hamkomi..
Wengine wengi wamefungwa.Ndio kubet ama vipi?
Kuna binti alikuwa anatafutwa kwao week nzima nyumbani haonekani Wala shuleni haonekani.
Wenzie wako kwenye maandallizi ya kufanya mtihani wao wa form four week ijayo.wakajua kapotea kumbe kafungiwa kinyumba Kwa boda hapohapo mtaani kamgeuza mkewe.
Kwa Hali kama hii atarajie Nini?
Hata kama binti kakukubali unashindwa kutumia akili?

Akifungwa atakuwa kaonewa?
Huyo mpumbavu afungwe tu. Alitakiwa afanye "hit and run", sio kumuweka mwanafunzi kinyumba.
 
Back
Top Bottom