Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Mwanaume, Nini kinachangia utembee na mwanafunzi, tena under 18?

Nikuogope mtu ambaye hata sikujui!
Sijasema unaniogopa ila nikawaida wanawake kutokuwa wawazi ndio maana hata weww hauwezi kutaja idadi sahihi ya uliolala nao lazima upunguze tu...na pia hata umri alioanza kuzini hawezi kuweka wazi,,fikiria useme hapa kwamba umeanza ukiwa na miaka 15
 
Nimelala na wanaume 100, Nimeanza mapenzi nikiwa na miaka 24.

Why unahisi haya mambo hayawezekani kusemwa? Ushasema wanawake ila haujasema mimi.
 
Wakati mwingine kuwatetea hawa mabinti ni kazi sana, wengi hawajitambui, wana viherehere na wanaendeshwa na tamaa na shinikizo la kutaka kukubalika na rika lao. Kwa tulioona hiyo clip ya wale wahitimu wa kidato cha nne, inaonyesha dhahiri kuwa wamekubuhu kwenye umalaya na tabia zisizofaa. Kama jamii tuna kazi kubwa ya kuboresha malezi kwa hawa vijana.
 
Back
Top Bottom