Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Anapenda gari au mwanaume? Maana siku hizi kila mtu mwanamke na mwanaume wote wanajishughulisha na kufanya maendeleo ikiwemo kujinunulia magari.Ndio maana wanaishia kumegwa na kuachwa au hata wakiolewa ni manyanyaso matupu ,maana wamajaa fikra za utegemezi tu.
 
Ndyoko, mi nadhani uenende baclays uwaulize kama bado wanatoa mkopo! Hayo maneno mama watoto akiyaskia ataanza kumsalimia yule jirani yako kwa bashasha! Ohooo, shaurilo!
 
Trekta nalo si gari? Faza amenirisisha trekta last week

Trekta si gari bana KLQN lol! Mkitaka kwenda kujirusha sehemu sehemu hiyo speed yake ni utata mtupu! Halafu sijui kama utaruhusiwa kupark trekta lako sehemu za kujirusha 🙂🙂
 
yanini kupeana karaha badala ya raha mweh!........jiweze ndio uje kuwezeshwa zaidi
 
Kuna kidume huku jf sijui kina treni ya umeme kimekuibia mke humu baba! Hebu browse kwanza kabla sijakupa umbea nikasutwa mie!
Huyo mzembe anajua kama mimi ni Mod?
Acha nibrowse hebu nipe hint ni chit chat au jukwaa la wakubwa? manake nimegundua wizi wa wake za watu mala nyingi hapa JF unaanzia jukwaa la wakubwa baada watu kuangalia mapicha bila nguo
 
Trekta si gari bana KLQN lol! Mkitaka kwenda kujirusha sehemu sehemu hiyo speed yake ni utata mtupu! Halafu sijui kama utaruhusiwa kupark trekta lako sehemu za kujirusha 🙂🙂

Dah! imekula kwetu mkuu BAK. acha niliuze nitafte ki vitz
 
  • Thanks
Reactions: BAK
halafu ukishanunua corolla, wanasema nani apande ile taxi bubu, ukinunua vitz wanasema nani apande kale kabajaji kenye matairi manne,....

Itakubidi ununue train....nayo watasema mabehewa yenyewe makubwaaaa!!!

Kamata, chinja, then tambaaa zako, tena ukikaa vibaya chezeya nukta, mwake na maumivu!!
 
Huyo mzembe anajua kama mimi ni Mod?
Acha nibrowse hebu nipe hint ni chit chat au jukwaa la wakubwa? manake nimegundua wizi wa wake za watu mala nyingi hapa JF unaanzia jukwaa la wakubwa baada watu kuangalia mapicha bila nguo

kumbe ndo inavyokuwaga eeehhhh mala kwa mala sio?
 
Huyo mzembe anajua kama mimi ni Mod?
Acha nibrowse hebu nipe hint ni chit chat au jukwaa la wakubwa? manake nimegundua wizi wa wake za watu mala nyingi hapa JF unaanzia jukwaa la wakubwa baada watu kuangalia mapicha bila nguo
Mkuu hivi sweetlady bado hajamaliza kukaa heda ya nitonye
 
Mkuu ndyoko, kila mtu na ibilisi yake, kweli kuna mademu ukiwa na gari tu umempata
Unaukumbuka wimbo fulani wa John Mjema..........?
 
Baba, fanya homework yako, na usinitaje!
Afu tubadilishane unipe trekta nikupe tuk tuk, si una tela la kubebea wanyama?
Huyo mzembe anajua kama mimi ni Mod?
Acha nibrowse hebu nipe hint ni chit chat au jukwaa la wakubwa? manake nimegundua wizi wa wake za watu mala nyingi hapa JF unaanzia jukwaa la wakubwa baada watu kuangalia mapicha bila nguo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom