Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Mkuu that is more than going extra mile, aisee! Inawezekana wewe ni mmoja wa wale wanaoenda hadi ukweni na kuvalisha wadada pete za uchumba kabisa, mwishowe ukishamega mzee kiulainiiiiiiiiiiiiiiii unepotea na kubadili simu kabisa!

Ya nini kwenda kuharibu utu wako mbele ya wazee wasio na hatia na kuwatia presha bure kwa tamaa za fake divaz kaka. Extra bongo wanasema tulikutana kimjini mjini na tuachane kimjini mjini......ni kuwakorogea na kuwanywesha fasta fasta dozi zao then unaendelea na mishe zako kama hakijatokea kitu vileee
 
Ndyoko ukiwa tayari, njoo nikuuzie gari langu. Mimi naona maisha ya gari yananishinda. Maana vijana siku hizi wakikuona mdada una gari na kila siku unaenda kazini basi wanakufuzia hadi kero. Maisha ya daladala ni mazuri hasa kwa aneyejipanga kimaisha kama mimi. Usiogope, bei maelewano

Dada umenifurahisha, chukua like la kwenye simu, mimi mwenyewe maisha ya gari yamenishinda natafuta mteja ka saloon changu, nilipoanza kazi tu nilikimbilia kununua gari as nakaa home na utoto ulichangia but naona sasa linaniharibia safari ya kuanza maisha naliuza wiki si nyingi, I wish to get a lady like you, kwanza watu hawajui gari ni lina unplanned expenditure nyingi sana
 
Ndyoko mkuu hii wiki naona imekuishia ukiwa umewaza sana neno 'GARI' kutokana na hizo scenario mbili..

Kuhusu hao wadada nadhani wako kibiashara zaidi siyo upendo..iweje mtu usihangaike na maisha yako usubiri kutongozwa na mtu mwenye gari na kuwadharau wasio na magari??! Halafu unaweza kukutana na watu wengine kwenye madaladala siyo kwamba hawana magari.

Mwanangu mapenzi siku hizi hakuna.. mwenye nacho ndiye anapendwa, huna ulie tuu. Hata ukipata jiandae kunyang'anywa tena njiani na ww unaona>
 
Nikiwa na gari, sikupi nauli
Nikiwa sina gari, nakupa nauli

Mbona yote sawa? Lengo ufike kwa gari/usafiri.. Hahaha!
 
Ndyoko ukiwa tayari, njoo nikuuzie gari langu. Mimi naona maisha ya gari yananishinda. Maana vijana siku hizi wakikuona mdada una gari na kila siku unaenda kazini basi wanakufuzia hadi kero. Maisha ya daladala ni mazuri hasa kwa aneyejipanga kimaisha kama mimi. Usiogope, bei maelewano

Hakuna mwanaume anaemshobokea mdada kisa gari, unajishtukia tu happiness win
 
Ishi kama uwezo wako unavyokuruhusu usipende kuiga maisha ya wengine.
 
Yawezekana nilishawahi kutongozwa na MTU ambae hana gari, ila sijawahi kuwa kwenye mahusiano na MTU ambae hana gari, na si kwamba nishawahi kuwaza hivi ila baada ya kusoma huu Uzi ndo nikawazaaaa nikaona sijahahi.
 
Mwanamke akikupenda hatataka ununue gari bali atataka utumie hio hela kumuoa. Anajua ukinunua gari utapendwa na wengi.
 
Hao watakuwa mademu wa chuo wanatiana ujinga, wala usiumize kichwa miaka ni mitatu tu katika wadhifa wa "mwanafunzi wa chuo" yajayo yatawafurahisha kila mmoja akiwa karudi kwa wazazi waliomzaa au walezi wake!
 
Wasikuuumize kichwa kaka huyu si wa ndoa ila ni wa bata wana expiry date ikifika muda matangazo yataletwa hapa wamejishusha thamani labda kama ana NHIF na pension.
Ila kama anazo hata yeye anunue akitoka bata apande lake
 
Ukiona mume ana gari kuna jitihada za mke nyuma.
Ni nadra sana mwanaume kununua gari kabla hajawa na mke kwa maisha ya TZ.
Ni vyema pia akaacha kusumbua ndoa za watu
 
Nikiwa nimekaa siti ya nyuma ambapo siti ya mbele walikaa mabinti wawili-nikiri kuwa walikuwa warembo-nikawasikia wakiongea mambo yako ya kike kike. Pengine kwa kunogewa na maongezi ya mapenzi-inaonekana muda mfupi kabla ya kupanda gari walitongozwa na wanaume-mmoja akaropoka 'kwanza wanaume wenyewe gari hawana, shida gani watu baada ya kutoka kupeana raha tuanze karaa ya kugombania daladala'? Mwingine akadakia, kweli shosti mtu umejichokea kwa dozi zake halafu anazidi kukukaraisha kukupandisha midaladala'.

Mmoja kageuka nyuma kuniangalia, akakumbana na bonge la tabasamu langu. Nikawaambia ujumbe umefika......wakacheeeeeeeeka! Nikaamua kuunga stori na kuwambia........'Jamani hata sie wapanda daladala tunahitaji raha ya mapenzi', yule muongeaji sana akanijibu eti labda hadi mwanaume awe amemuingia haswa moyoni mwake, vinginevyo kama ni issue ya kupeana raha tu, hapotezi muda kwa wanaume wachovu wa kupandishana daladala.

Nikabaki hoi mie, looooh! Nikaunga na ile 'issue' yangu ya ' Hivi jirani kwa nini hununui gari', nikajisemea moyoni heri nimeshaoa, maana kama ningekuwa bado walahi mwaka huu ningechanganyikiwa!
Wapumbavu tu hao ungewaambia kwani MAGARI NI MATAKO HADI KILA MTU LAZIMA AMILIKI.
 
Kumbe ndio maana kuna gari siku moja lilipaki kando. Lilinishangaza kwa kutingishika mithili ya mechanics kazini nahisi ndiyo ninyi wenye mawazo haya ya kipumbavu
Nchi itakuwaje ikiwa kila mwanaume atamiliki gari?
 
Ukiona mume ana gari kuna jitihada za mke nyuma.
Ni nadra sana mwanaume kununua gari kabla hajawa na mke kwa maisha ya TZ.
Ni vyema pia akaacha kusumbua ndoa za watu
Mambo ya zamani haya siku hizi vijana wadgo wanamiliki magari ya hadi mil 10 bila ya kuwa na mipango hata ya ndoa
 
Nikiwa nimekaa siti ya nyuma ambapo siti ya mbele walikaa mabinti wawili-nikiri kuwa walikuwa warembo-nikawasikia wakiongea mambo yako ya kike kike. Pengine kwa kunogewa na maongezi ya mapenzi-inaonekana muda mfupi kabla ya kupanda gari walitongozwa na wanaume-mmoja akaropoka 'kwanza wanaume wenyewe gari hawana, shida gani watu baada ya kutoka kupeana raha tuanze karaa ya kugombania daladala'? Mwingine akadakia, kweli shosti mtu umejichokea kwa dozi zake halafu anazidi kukukaraisha kukupandisha midaladala'.

Mmoja kageuka nyuma kuniangalia, akakumbana na bonge la tabasamu langu. Nikawaambia ujumbe umefika......wakacheeeeeeeeka! Nikaamua kuunga stori na kuwambia........'Jamani hata sie wapanda daladala tunahitaji raha ya mapenzi', yule muongeaji sana akanijibu eti labda hadi mwanaume awe amemuingia haswa moyoni mwake, vinginevyo kama ni issue ya kupeana raha tu, hapotezi muda kwa wanaume wachovu wa kupandishana daladala.

Nikabaki hoi mie, looooh! Nikaunga na ile 'issue' yangu ya ' Hivi jirani kwa nini hununui gari', nikajisemea moyoni heri nimeshaoa, maana kama ningekuwa bado walahi mwaka huu ningechanganyikiwa!
Daladala ni kitu kibaya mwanaume kupanda kama juzi mwanaume ni handsome mzuri kapanda daladala aibu.
Ukiwa mzuri fanya mpango wa kagari hata kapasso .
Unatutia aibu kabisa unaolewa na mwanaume hana gari halafu bado wewe ni mzuri kama nini.
Aibuu lazima uwe na gari na yeye awe nalo naomba Mungu niwe nalo yaani wadada wazuri na wakaka wanaojiita mahandsome wanaojiita mahandsome mnatakiwa muwe na gari.
Ila mtu mwenye nyumba na mwenye gari na chagua mwenye nyumba .
Gari atanunua tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom