Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Hao watoto washamba tu, kwani gari ndiyo lina do. Halafu kununua gari ni kipaumbele cha mtu mwingine kipaumbele chake si gari ila ana hela ya magari zaidi ya matatu.
 
Pole sana mkuu ila hata maneno yao usiyawaze make wale hata shule yao itakuwa ndogo, kwa mwanamke mwenye akili hawezi kuongea mambo kama hayo hao watakua wapo kibiashara zaidi.
 
duuu, mi leo nimechoka sana baada ya kusoma hii post hebu ngoja nirudi home nikalale, maana nilipanga kwenda mlimani city. lakini nahairisha safari ya huko. afu inaoneka hao wanataka magari tuuu!!! no matter lakwako au sio lakwako!! hatakama umeajiriwa kazi yako ni dereva tuuu kwa wanawake unaadvantage sana!!
 
hata trekta nalo ni gari. Mimi ninalo,je nakubalika?
hilo utaonekana mfalme kijijini mkuu, nani akutake mwanaume ukirudi home kiuno chote kwisha kazi. hahaaaaaaa, nakutania kaka ila ukweli ni kwamba wanawake wengi husema mwanaume muendesha trekta hana lolote eti kwa kuwa ile yumbayumba ya trekta humaliza nguvu zote
 
mambo ya sayansi na teke linalokujiaaa hayooo enzi zetu..... unachaguliwa na kulipiwa mahari na huna cha kusema huyu hana elimu wala gari.poleni kizazi kipyaaa:shock:
 
duuu, mi leo nimechoka sana baada ya kusoma hii post hebu ngoja nirudi home nikalale, maana nilipanga kwenda mlimani city. lakini nahairisha safari ya huko. afu inaoneka hao wanataka magari tuuu!!! no matter lakwako au sio lakwako!! hatakama umeajiriwa kazi yako ni dereva tuuu kwa wanawake unaadvantage sana!!

100% true! tena upatie gari yenyewe ya ofisi iwe na namba za kiraia, Yesu wangu unaweza maliza mtaa aisee
 
Ngoja nikafufue kagari kangu ka mgongo wa chura ninaweza kulamba totozi ya ukweli
 
Ndyoko nunua gari tu, utanyanyaswa wewe na jirani, barabarani and kwengineko. Omba huyo mweziwako awe kipofu hivyo hivyo akishtuka tu nae asema hapakaliki mpaka mchuma utinge amasivyo nataka talaka yangu.

loool
 
Unapoenda kutafuta nguo unachagua inayokukaa na kukusitili size ya mwili wako hivyo hivyo unapotaka mke tafuta mnayeendana naye ,nahao wanawake wataolewa na wenye sifa za mawazo yao
 
Hao watoto washamba tu, kwani gari ndiyo lina do. Halafu kununua gari ni kipaumbele cha mtu mwingine kipaumbele chake si gari ila ana hela ya magari zaidi ya matatu.

Kweli mkuu. Ila kwa kizazi cha sasa hasa hasa vijana, mkoko ni kipaumbele cha kwanza tofauti na wazee wenyewe kipaumbele chao ni mashamba na mikoko ununuliwa wakistaafu.
 
Hao wanawake ni ma clever sana yanini wasumbuke na mtu asiye kuwa na pesa.
 
wanasema ukweli bwana hao its wat tgwy want in apartner so kama huna u dnt make the cut....tumubali tuu mapwnzi siki hizi biasharaa

Ngoja nimsaidie kutafasiri kwa jinsi nilivyoelewa.

Wanasema ukweli hao, Hicho ndicho wasichana wanataka kwa wanaume. Hivyo kama hauna, haulipi....Tukubali tu mapenzi siku hizi biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom