Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

Mwanaume asiye na gari mi hata simkubalii!

wanasema ukweli bwana hao its wat tgwy want in apartner so kama huna u dnt make the cut....tumubali tuu mapwnzi siki hizi biasharaa

Nyie ndio wale watu kwa tamaa ya pesa hadi mnamkubali mzungu, mbwa wa mzungu na pesa zao.
Shame on you.
 
Baba, fanya homework yako, na usinitaje!
Afu tubadilishane unipe trekta nikupe tuk tuk, si una tela la kubebea wanyama?
Acha wizi bana, yaani trecta kwa tukutuku?. Halaf siliuzi tena bana kuna mrembo kaniPM anasema tukalilimie kolosho, kasisitiza kwamba yeye anapenda kolosho kuliko gari.
 
Ndyoko mkuu hii wiki naona imekuishia ukiwa umewaza sana neno 'GARI' kutokana na hizo scenario mbili..

Kuhusu hao wadada nadhani wako kibiashara zaidi siyo upendo..iweje mtu usihangaike na maisha yako usubiri kutongozwa na mtu mwenye gari na kuwadharau wasio na magari??! Halafu unaweza kukutana na watu wengine kwenye madaladala siyo kwamba hawana magari.

duh! Ukiwa na gari atakukubali, na ikitokea gari imekufa atakuacha. Akili zao hazina akili hao wanatamaa, na ukiona mwanamke wa hivyo hafai kuoa.
 
nina ka masidizi tu wadada ka 2011
natafuta wa kumlikisha bure...
 
Kwahiyo mimi ninaemiliki show room ya magari mambo ni mpwitompwito tu!!?? badly ngono is not my priority.
 
kwa hiyo ni kusema wanaume wenye magari,wanapendewa magari yao

ukiwa huna kaazi kwelikweli,ukiwa nacho shughuli pia

Gari huwa tunaita mtama kwa watoto mkuu,ukiwa nalo tu hata kama la kubebea maiti unang'oa mchuchu tena kilaini,hata kama ukipewa lifti kwenye vougie unang'oa tu.
 
Korosho ziko za mashamba ya urithi tu wewe, ushaskia sirikali ikiongelea programu ya kupanda korosho na mbolea za ruzuku? Kalaghabaho, shemeji zako watakuwa wanaokota wanakupiga bao! Shauri lako!
Acha wizi bana, yaani trecta kwa tukutuku?. Halaf siliuzi tena bana kuna mrembo kaniPM anasema tukalilimie kolosho, kasisitiza kwamba yeye anapenda kolosho kuliko gari.
 
Hehehe! Sasa mwanaume si ndo kichwa cha nyumba? Wanawake wenye magari nao wanataka wanaume wenye vi-auditing firm uchwara ama walau kiwanda cha chaki vingunguti!

Hamna lolote zaidi ya materialism!
 
Ndyoko, mi nadhani uenende baclays uwaulize kama bado wanatoa mkopo! Hayo maneno mama watoto akiyaskia ataanza kumsalimia yule jirani yako kwa bashasha! Ohooo, shaurilo!

Nna mtaalamu mmoja ni koboko kwa kushusha mishipa wezi wa wake za watu! Ajaribu aone, ikishindikana hiyo anapata zile 'siku' sawia na mkewe, acha kabisa aisee, anga hizi wezi huwa hawakatizi, lol!
 
Nikiwa nimekaa siti ya nyuma ambapo siti ya mbele walikaa mabinti wawili-nikiri kuwa walikuwa warembo-nikawasikia wakiongea mambo yako ya kike kike. Pengine kwa kunogewa na maongezi ya mapenzi-inaonekana muda mfupi kabla ya kupanda gari walitongozwa na wanaume-mmoja akaropoka 'kwanza wanaume wenyewe gari hawana, shida gani watu baada ya kutoka kupeana raha tuanze karaa ya kugombania daladala'? Mwingine akadakia, kweli shosti mtu umejichokea kwa dozi zake halafu anazidi kukukaraisha kukupandisha midaladala'.

Mmoja kageuka nyuma kuniangalia, akakumbana na bonge la tabasamu langu. Nikawaambia ujumbe umefika......wakacheeeeeeeeka! Nikaamua kuunga stori na kuwambia........'Jamani hata sie wapanda daladala tunahitaji raha ya mapenzi', yule muongeaji sana akanijibu eti labda hadi mwanaume awe amemuingia haswa moyoni mwake, vinginevyo kama ni issue ya kupeana raha tu, hapotezi muda kwa wanaume wachovu wa kupandishana daladala.


Nikabaki hoi mie, looooh! Nikaunga na ile 'issue' yangu ya ' Hivi jirani kwa nini hununui gari', nikajisemea moyoni heri nimeshaoa, maana kama ningekuwa bado walahi mwaka huu ningechanganyikiwa!
Pole sana JIRANI, siku hazifanani ipo siku yataisha hayo. Ina maana mpango wa lifti ndio umeusitisha kabisa?
 
Mie nikishikwa na kawivu kiduchu tu ama kununa anajipiga ban. PAW anajua kupenda acha tu! Na ana helicopter, kwa hiyo sina wasiwasi na vidada vya jf,lol
Halaf nyepes nyepes zinasema PAW alijiskia boring majuzi akaamua kujitandika ban mwenyewe. PAW bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom