Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mhe: Rais amshukuru Jaji Werema kwa utumishi ulioongozwa na "uaminifu na uadilifu"!!?

Aliyofanya Jaji Werema ktk sakata la Escrow ni utekelezaji wa sera za Chama Tawala, ndio maana anasifiwa kwa 'uaminifu na uadilifu'.

Vv
 
naona Kubenea kaibukia jf na mada zake za kulia lia
 
Wewe ni Rais wa wapumbavu jinga kabisa wewe.

Wewe ni juha tena Mbumbu wa kutupwa mwenye akili za kuazima na kukariri, nenda kaoge kama huna la kufanya Kubwa zima unanuka kikwapa! Wenzake tunachambua mambo ya Kitaifa wewe unaleta matusi!
 
halafu kuna wajinga wachache bado wanaamini ESCROW ni dili safi
 
Wana jf kwanza ni declare interest kuwa sishabikii chama chochote cha siasa,my interest ni taifa langu kwanza,niliwahi kuhoji juu ya uwezo wa rais wetu nilienda mbali na kusema pia hakustahili kuwa hata katibu tarafa nilishambuliwa kwa matusi na kejeli,leo limenigusa jambo moja tu kuhusu swala la escrow binafsi limenigusa sana siamini kama rais angewalinda wezi wa rasilimali zetu.

Je kujiuzulu kwa AG na ushaidi wote wa jinsi walivyogawana hizi pesa je inatosha kurudisha imani kwa wahisani waliogoma kutoa pesa za maendeleo? hapa ndio naamini yanayozungumzwa kuwa rais ni mnufaika wa wizi wa escrow hawezi kumshukuru AG kuwa alikuwa mwaminifu na mwadilifu ina maana hakuna hatua zaidi za waliohusika na uchafu huu,rais wetu pamoja na kukaa mda wote huo ndio usanii anaokuja nao kwa watz?

tumechoka na serikali yako ya kidhalimu inayotetea wezi wa rasilimali za nchi ilihali wananchi wakiteseka kwa kukosa madawa na huku wengine wakilazimishwa kuchangia ujenzi wa maabara,uongozi wako ulikosa baraka za Mungu na hakuwa chaguo la Mungu kama tulivyoaminishwa,unaongoza nchi kwa njia za kishirikina na giza na nakutabiria tu mwisho wa utawala wako ni mbaya sana ujiandae hakika watz wana mengi ya kujifunza kwa urais siyo kazi ya kuvaa suti na kunyanyua mabega,rais usiyekua na mipango inayoeleweka zaidi ya kuja na mipango hewa isiyotekelezeka!

Tunashukuru kwa sinema ya leo tunasubir ya Muhongo,Tibaijuka,maswi,Miraj Kikwete,Salma kikwete,riz1,Chenge nk!
Mungu ibariki Tanzania

siku zote kikwete ni msanii na ni mzee wa kuuma na kupuliza
 
NaniniBaraka mimi nakuunga mkono kabisa. Mimi niliwahikusema kazini kwangu tokea ile issue ya EPA nikasema uwezo wa kikwete ni mdogo sana kuongoza taifa. Yaani uwezo wake wa kuchambua mambo hata binti yangu aliyoko darasa la tatu anamzidi mbali huyu jamaa. Kwa sababu kwa kiongozi mwenye kufikiria kwa kutumia kichwa chake hawzi kuthubutu kumpongeza mwizi aliyesababisha hasara kubwa hivyo kwa taifa. Labda huyu kikwete hatumii kichwa kufikiri. Haiwezi kumuuingia akilini mtu yeyote mwenye akili timamu kwa wizi uliofanywa na hawa wapuuzi kuona kiongozi wa nchi unatoa sifa kuwa alikuwa mwadilifu. Vipi kipimo cha uadilifu kwa kikwete ni kipi?
Kwa mtindo huu hawa viongozi wetu wanajenga radicals katika jamii biala wao kujua. Kwa mtu yeyote anayeumizwa na vitendo hivi vya viongozi kujitwalia mali za umma halafu wanalindana namna. Vijana wakiamka itakuwa kama tunavyoona Syria, Pakistan ambako watu wanajitoa muanga.
 
Mwizi wa kuku anauliwa. Je ukiiba billioni moja, unaweza kununua kuku wangapi wa wizi?
anaposema kuna watu kutoelewa maelekezo yake asipuuzwe huenda kuna mantiki kuwa watendaji wengine kwa makusudi walitafsiri ushauri wake kwa namna yao ili wajinufaishe hivyo kuna viongozi wengi wanaotakiwa kushughulikiwa hebu tuwe objective
 
Huyu hakushinikuzwa kapewa hii deal ya kujiuzulu ili asikose pensheni yake, alistahili kufukuzwa huyu kwa sababu yeye kama Mwanasheria Mkuu wa Serikali ukiachilia mbali hili sakata la Escrow amri ingiza Serikali kwenye hasara kubwa kw kusaini mikataba mbali mbali ambayo haina maslahi kwa Watanzania.


Huyu kashinikizwa ajiuzulu sio yeye kama yeye.viongozi wa hapa Tanzania kujiuzulu kwa matakwao yao huwa haipo mpaka washinikizwe kwani kwa hiari yao huwa ngumu.na hakupaswa kujiuzuru bali kikwete alipaswa kumfukuza kabisa maana hafai
 
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow haukueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

UAMINIFU NA UADILIFU?

Awajibishwe sasa
 
Tulikuwa tunasubiri ajiuzuulu ama afukuzwe sasa kaamua kujiuzulu
Nextstep afikishwe mahakamani kama tulivyokusikia
Wakati wa watanzania kuamka jamani


Huu uhanithi was kuiba na kujiuzulu pesa azirudi tufike watz tuamue kuhangaika kuzirudisha wenyewe kama serikaliI imeshindwa kuwakamata
 
kwani mada hii ina hoja gani zaidi ya umbeya na kulia lia?[/QUOTE
we ni mnufaika wa utawala huu wa serikali ya awamu ya nne,mtz mzalendo hawezi tetea wizi huu wa Escrow,jitazame upya kama bado una hadhi ya kuchangia hoja zako za kutetea mabwana zako
 
Back
Top Bottom