Mmeridhika au bado?
Ajihudhuru = Ajihuzulu
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, Jumanne, Desemba 16, 2014 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete amekubali ombi hilo la kujiuzulu.
Katika barua yake kwa Mhe. Rais Kikwete, Jaji Werema amesema kuwa ameomba kujiuzulu kwa sababu ushauri wake kuhusiana na suala ya Akaunti ya Tegeta Escrow hakueleweka na umechafua hali ya hewa.
Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.

Habari njema hii,uwajibikaji ni muhimu sana sio mpaka kufukuzwa,safi sana jaji werema umeonyesha ukomavu wa kisiasa.
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema amejiuzulu nafasi yake hiyo kuanzia leo, ................................Mhe. Rais Kikwete amemshukuru Jaji Werema kwa utumishi wake ulioongozwa na uaminifu na uadilifu.
Hahahahaha ile ya Mugabe ni kali yaani mkewe anatoka from secretary then muda mfupi tu anakuwa Dr....by the way hii nchi ilipofikia ni hatari sana, na anytime soon tutegemee mabadiliko katika baraza la mawaziri.....wahisani na nchi washirika wamebana kila kona, uchaguzi wa mitaa imetoa pigo takatifu, kuna kila dalili zote za kupigwa kura ya maoni ya katiba kuna kula dalili upinzani kufanya vizuri uchaguzi mkuu unless uteuzi wa ccm uwe free and fair.....kwa kifupi hali ni hatari.....