Watu wa Bodi habari zenyu .
Nimeliuliza hili kule mitaa ya politiki , but unfortunately hakuibuka wa kunikidhi jawabu .
Nauliza aliyekua AG Jaji Fredirich Werema , mara baada ya kujiuzulu U'AG na Ujaji pia kauvua ?
Nina maana ataendelea kuhudumu as Gudge ?