Msulibasi
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 5,957
- 8,005
"Nimepokea taarifa ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali kujiuzulu na nimeshangazwa na sababu alizozitoa kujiuzulu. Alipaswa kufukuzwa kazi na kufikishwa mahakamani kwa uzembe na matumizi mabaya ya ofisi. Hata Rais Kikwete asipofanya hivyo, Rais ajaye atafanya hivyo".
Amedai ushauri wake ulileta mkanganyiko anamaana alichoshauri sicho kilichofanywa .Zitto upo sawa ila utampata wapi huyo raisi ajaye ndugu yangu mana atatoka kwenye network hiyohiyo.Ndo maana Warioba aliwakosoa mmeacha network ipo imara na itatoa raisi ajaye ukizingatia nyenzo ipo.