Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Frederick Werema ajiuzulu

rais kikwete amekubali barua yake na amemshukuru kwa kuchukua hatua hiyo
itv news
 
Amechelewa kufanya maamuzi poor you Werema.
 
Source; Taarifa ya habari ITV muda huu usiku, amemwandikia baruA RASMI Mh; Rais na amekubali
 
Haya alikua wapi? na hao wasomi uchwara wakowapi, nyambafu wasomi uchwara woote
 
Back
Top Bottom