TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

TANZIA Mwanamuziki Hussein Jumbe afariki dunia

"Maneno mengi yalisemwa juu yangu mimi, na wengine wakatangaza nimeaga dunia, na sanduku la gharama wakanichongea, kwa mapenzi yake jalal hii leo nachechemea"

Masikini sasa hivi kaaga kweli dunia,kifo ni fumbo kubwa.
 
"Baada ya familia kuzoea nyumba

Nguzo nimeteteleka nyumba inayumba

Mi nateseka na maradh

Naumia mim kwa mawazo

Mi nateseka na maradh

Anaumia muuza Viat kwa mawazo

Sijui watoto wangu watakula nin"


Wanaume tumeumbwaaaaa

matesooo

mateso

Kuhangaika
Kipaji maridhawa kimeanguka; sisi sote tu wa Mwenyezi Mungu na kwake tutarejea siku moja.
 
Back
Top Bottom