Aboud Jumbe Mwinyi (14 June 1920 – 14 August 2016) was a Zanzibari politician. He held several positions, including the second president of Zanzibar, chairman of the Revolutionary Council, Vice-President of the Union, and the vice-chairman of the Chama Cha Mapinduzi (CCM) party.Jumbe served as president of Zanzibar from 11 April 1972 until 30 January 1984. He succeeded Abeid Karume as president, following Karume's assassination on 7 April 1972. He was initially elected by the Revolutionary Council as a part of the Afro-Shirazi Party (ASP). While he was in office, in 1977, the two ruling parties of Tanzania merged. In particular, the ASP and the Tanganyika African National Union (TANU), merged to create Tanzania's ruling party, the CCM.In 1979, Jumbe introduced the first post-revolution constitution of Zanzibar. This separated the powers of the Revolutionary Council and the House of Representatives. Furthermore, the new constitution established elections by universal suffrage, instead of being elected by the Revolutionary Council.Jumbe died at the age of 96 at his home at Kigamboni, Dar es Salaam, on 14 August 2016.
Akili kumkichwa,Hakuna mwenyekiti aliemaliza MDA wake akajua vyote na Wala hakuna mwenyekiti aliewahi dhibiti kila kitu akaweza!!
Kama Kuna watu umewakosea omba radhi!chutama!tafakari Anza upya!usishupaze shingo!
Bado sisi tuna upendo tuna uwezo wa kupozwa na uwajibikaji wa watendaji wakuu...
Ombi kwa Chadema ingefaa na ingeleta maana kitaifa kuwajali wale bodaboda .
Kama itakuwa vema zile pesa mlizokusanya kule shinyanga muwagawie kama kifuta jasho hata kama ni 500 muwape itawajenga bodaboda wengine kujitolea pindi mtu anapoomba msaada .
Hawa bodaboda wana umoja sana kama wangekuwa...
NI kawaida lazima mwenye mkoa wake wa DSM aje atuambie hadharani au safari anaona aibu maana siyo kwa aibu hii .
Atakuja tu msubiri anajiandaa kupangilia uwongo wa kutukuka
Mnamjua au niwatajie ......
mission paralyzed
Kiongozi mmoja ambaye sasa ni hayati, ambaye alikuwa na nafasi kubwa wakati wa utawala wa Nyerere, ambaye ndiye aliongoza timu ya kukamilisha muungano wa Tanganyika na Zanzibar, miaka michache kabla ya kufa kwake, alisema kuwa kinachoitwa muungano wa Tanganyika na Zanzibar, haukuwa muungano...
Muache ngonjera za kusema Aliruka na kutokomea akiwa na PINGU.
Ukimfunga Mtu Míkono kwa namna yoyote ile, UMEMUONDOLEA BALANCE YA KUKIMBIA , HIVO HAWEZ KUA NA UWEZO WA KUKIMBIA KWA KASI HATA KUWASHINDA MAASKARI
UHUNI MLOUFANYA KWA POLEPOLE, KWAKUA HAMNA AKILI, NDIO MNAURUDIA ULEULE
Kupitia ukurasa wake wa Instagram Msanii Shilole anaandika maneno haya ,
"Nimemwona Mungu kwa macho yangu. Baada ya ajali, nimesimama leo kwa neema yake. Sifa na Utukufu ni zake milele, Kila pumzi ninayovuta leo ni ushuhuda juu yake🙏.
Asante ni kwa jumbe zenu, Asanteni kwa simu zenu kwangu na...
Mwandishi wa chombo cha habari CNN mwenye uraia wa kenya Larry Madowo ameshare baadhi za ujumbe anazotumiwa DM za matusi na vitisho baada ya kuchunguza na kuripoti mauaji ya kikatili ya waandamanaji yaliyotoke Oktoba 29
Habari za asubuhi ndugu zangu!
Nimekuwa nikisumbuliwa na jumbe nyingi kwenye simu yangu zenye ujumbe unaofanana huu:
“Jitokeze kupiga kura tarehe 29 Oktoba, 2025 kumchagua Rais, Mbunge na Diwani. Kura yako ni haki yako.”
Huu ujumbe umekuwa ukijirudia mara kwa mara kwa siku tofauti, na...
Habari wadau,
Zama hizi kumekuwa na utaratibu wa wamiliki au madereva wa vyombo vya usafiri kuweka jumbe mbalimbali katika vyombo hivyo. Jumbe hizo huwa za aina tofauti tofauti: zipo za majivuno, za kuelimisha, za kukumbusha na hata za kuchekesha.
Hivi karibuni nimekutana na ujumbe mmoja...
Wahenga wa muziki wa dansi nchini hebu tukumbushane kisa hicho cha kweli na Nini hatima yake. Nakala kwa Mtangazaji mkonhwe na Manju wa Muziki Masoud Masoud
IRAMBA KUMEKUCHA, ENG. JUMBE KATALA ACHUKUA FOMU YA UBUNGE JIMBO LA IRAMBA MAGHARIBI.
Wakati ambapo joto la watia Nia katika majimbo na kata mbalimbali nchini likiendelea kuongezeka kwa upande wa Mkoa wa Singida Hali ni Shwari kabisa ikitajwa kuwa Leo Juni 28,2025 wamejitokeza watia nia wengi...
Nimecheka sana,
Mdogo wangu yupo Chuo Kikuu Dodoma kaniambia muda huu vijana wa CCM vyuoni wameelekezwa kuingia kwenye pages za Samia, Ikulu Mawasiliano na CCM kutuma jumbe nyingi kuonesha Samia na CCM inaungwa mkono. Jumbe hizo ni pamoja na za kumsifia na kuonesha kuwa anapendwa na atapigiwa...
Habari Wakuu.
Nauliza kwa nia njema, kwa heshima na kwa kutambua ugumu wa majukumu ya uongozi,
Kwanini viongozi wengi hawajibu SMS za watu?
Sijafika kulalamika, bali nataka kuelewa. Mara kadhaa nimejaribu kutuma ujumbe kwa kiongozi fulani sio wa matusi, sio wa kutaka fadhila, bali ujumbe wa...
Unashauriwa kuripoti namba ya simu iliyokupigia au kukutumia ujumbe mfupi, kwa lengo la kukutapeli kwenda namba 15040. Kama umetumiwa SMS, tuma ujumbe uliotumiwa kwenda 15040 kisha ingiza namba iliyokutumia na kama umepigiwa simu basi tuma neno UTAPELI kwenda 15040 kisha ingiza namba...
MASIHARA!
Kuna watu mwezi huu (mwezi wa mfungo) wanatumiana jumbe za simu za namna hii licha ya kwamba na wenyewe wanashiriki mfungo.
Mwanaume:👁️🗨️ "Baby tukimaliza kufuturu, mida ya saa moja na nusu tuonane pale pale pa' siku zote".
Mwanamke:👁️🗨️ "Mh sawa. Ila tusitumie muda mrefu ili...
Kuna kila haja ya kuanzisha kumbukumbu ya Abdul Jumbe hapa nchini. Kwa maoni yangu huyu ndiye mzanzibari mwenye akili na maono mengi.
Huyu mwamba nilipata kufahamu kuwa aliupinga kwa nguvu zake zote huu muungano magumashi wa serikali 2.
Lkn sikupata kufahamu kuwa yeye ndiye kinara wa kupinga...
Yasemekana kamanda Mbowe ameadimika.
Kwamba tofauti na ilivyokuwa, simu hapokei tena:
Ashauriwe mwamba simu zote si za kuomba fadhila, zingine zimesheheni jumbe zenye kuweza kuunusuru umoja wetu kwenye nyakati hizi tete kabisa.
Zaidi sana akumbushwe mwamba: "wajumbe hawauwawi!"
Pia soma...
Google
You've closed your Google payments profile
Hello from Google,
You recently closed your Google payments profile.
You'll still be responsible for outstanding balances.
Most customers can delete additional payment information, including loyalty cards and contactless payment attempts, from My...
Kutoka kwenye korido za makumbusho naambiwa kamishna wa Polisi Tatu Jumbe ni moja ya askari polisi wachapakazi, waadalifu na wenye utumishi mzuri ndani ya jeshi hilo.
Hivyo msishangae siku moja nyota yake iking’aa vizuri akawa IGP wetu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.