Wilson Gamba
JF-Expert Member
- Mar 1, 2013
- 812
- 888
So sad,RIP.
Naam.Siri ya niniiii?
Rest in peace legend.
Itakuwa mambo ya kishirikina labda😄Naam.
Kuna wakati huyu bwana sijui alikuwa anapitia mambo gani. Kuna siku nasikia Radio One kuwa amevunjika mguu, eti aliota akikimbizwa na Kuku hivyo akadondoka kitandani. Apumzike kwa amani.