Mnatoa miongozo hii kwa mamlaka gani? ? ? WHO ARE YOU?
The GOD I worship has called me to freedom. I am FREE.
"Ndugu, nataka kusema hivi: Muda uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale waliooa na waishi kama vile hawakuoa."
1Wakorintho.7.29.BHN
"Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.
Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.
Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi."
1Wakorintho.7.26-28.BHN
"Kwa maneno mengine: Yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi."
1Wakorintho.7.38.BHN
"Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.
Lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. Hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye Roho wa Mungu."
1Wakorintho.7.39-40.BHN
Nitaolewa akiibuka mtoto wa MUNGU ninayempenda genuinely na si vinginevyo. It will be a KINGDOM MARRIAGE, for the LORD's Glory.
Sio umri, sio umaskini, si pressure yenu nyie wapenzi watazamaji.
Mnaaoolewa kwa pressure oleweni, wacheza kwaito tupo.
Na hizi habari za kutumika ni wishful thinking. Kama ulimla mara moja usifikiri ndo utamla siku zote. Kama ulikula kadhaa usifikiri ndo utakula wote. Viazi. Wake zenu wenyewe mnagongewa. Hahaaa.
Hatumiki mtu hapa, sio kila mtu ana pepo la kutaka kumwagiwa huo uchafu wako, nenda ukanunue, wako hadi wa buku jero, hata wa bure wapo, wamejisusa! ! !