Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Kadri umri wa mwanamke unavyozidi kuwa mkubwa bila ya kuwa na mume, ndivyo risk ya kupata mwanamme wa ndoto zake inavyozidi kuongezeka.

Hakuna mwanaume smart akachukua mwanamke mwenye 28 na kuendelea.
Kumbe hawa wanaooa kila jmos ni wendawazimu na hamtwambii😧
 
Huwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waah🤭
Hebu win-one njoo msikie huyu🫴🏾
Kwa hio kaongea pumba sio?
Sema tunachokosea sisi Wana wa adamu ni kuwa washauri wa maisha na mtindo ya maisha ya wengine bila kuzingatia kila mtu ana njia yake ya kufika anakutarajia kufika
 
Sio kama namdharau lakini that shit is rare! Atakuja mpiga gitaa wa kanisa kukutongoza aseme ni maono! Kama yupo atakuja kama hayupo endelea na maisha mengine bwana! Inakuwa kama mtu hawezi kufanya maisha ana pause kwanza apate mme🫢
Mbona alipata mwimba kwaya mwenzake 😄😄😄
Ila alinifunza kitu omba Kwa Imani na shida zako zinajibiwa
 
Nani atafute mikosi kwa wanawake wazee 28+
601FB025-1FB9-41CC-AF48-ABC24A71D6E1.jpeg
 
Back
Top Bottom