Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Hivi nani aliyewadanganya kwamba mtu ambaye hajaolewa lazima awe anatumika anachakazwa? Sio kila mtu ana pepo la ngono,kuna watu wanajiheshimu na kujitunza kwa kuthamini miili yao. Sasa wewe endelea kujifariji eti mtu ambaye hajaolewa anachakazwa wakati walio kwenye ndoa ndo wanachakazwa zaidi na kuwafanya nyie wanaume mlee watoto wa wanaume wenzenu kwa mahaba yote mkiamini mnalea damu zenu. Kama wewe huwezi kudhibiti tamaa zako za mwili usidhani kila mtu hawezi. Usiwape wengine ugonjwa wako
Ktk mia hawazidi watatu, as long ushaanza kuonja mkopo wa sukari utautafuta hata kwa siri, ndio maana hizi story za kula kimasihara sijui ndondo zinapigwa sana na hao unao waita "....wanajiheshimu.......".Ukija huku makazini ndio kabisa vurugu tupu, si wakubwa sio wazee, wengine utawasikia sijui Celibate, kumbe wanagongwa kimya kimya na waume za watu na Marioo. Ukienda huko kwenye nyumba za ibada ndio kabisa, wengine huamini kama ndio wao wanaofanya hivyo vitu.
 
Wengine wanakuja kukufundisha Wengine kukuumiza na Wengine kukujaribu Ila ukumbuke wote hao ni walimu.


Uenda kila kitu kikawa sawa ila kwetu haiwezi kuwa sawa tena kama zamani. Anaye kula ndizi ni rahisi sana kusahau Kuliko yule mtupiwa Ganda.
 
Ktk mia hawazidi watatu, as long ushaanza kuonja mkopo wa sukari utautafuta hata kwa siri, ndio maana hizi story za kula kimasihara sijui ndondo zinapigwa sana na hao unao waita "....wanajiheshimu.......".Ukija huku makazini ndio kabisa vurugu tupu, si wakubwa sio wazee, wengine utawasikia sijui Celibate, kumbe wanagongwa kimya kimya na waume za watu na Marioo. Ukienda huko kwenye nyumba za ibada ndio kabisa, wengine huamini kama ndio wao wanaofanya hivyo vitu.
1) Huu uharo ulioandika hapa unaongea kwa mamlaka gani? ?

Mamlaka ya tamaa zako? ?

We see things as we are, all you see are filthy people, that's because you're filthy yourself.

Safisha huo moyo wako mchafu.


2) MUNGU tunayemfuata amesema inawezekana basi inawezekana.

Kushindwa kwako hakubatilishi neno la MUNGU wetu.

Na hili sio jambo la kikundi ni jambo la kibinafsi. Muache viherehere.

"Kwa wale wasiooa na kwa wajane, nasema hivi, ingekuwa vizuri wasioe.


Lakini kama hawawezi kujizuia, basi waoe na kuolewa, kwa maana ni afadhali kuoa au kuolewa kuliko kuwaka tamaa."

1Wakorintho.7.9.NENO


3) Wewe kudhihaki "wanaojiheshimu", "walio celibate", "wa kwenye nyumba za ibada" inathibitisha tu kuwa ni kibaraka wa kuzimu, pepo mchafu, kutwa kushtaki ndugu za Kristo.

"Naam, ametupwa chini huyo anayewashtaki usiku na mchana." Ufunuo.12.10.BHN


4) Kama kuna mtu kwenye nyumba ya ibada anajulikana kuwa mtenda dhambi asiyetubu, MUNGU ashatoa maagizo:

"Yamkini habari imeenea ya kuwa miongoni mwenu kuna uzinzi ambao haujafanyika hata miongoni mwa watu wasiomjua Mungu: Kwamba mtu anaishi na mke wa baba yake.

Nanyi mwajivuna! Je, haiwapasi kuhuzunika na kumtenga na ushirika wenu mtu huyo aliyefanya mambo hayo?"

1Wakorintho.5.1-2.NENO


5) Wewe mwenyewe kibinafsi ukiona mtu wa namna hiyo, hekima ikutume:

"Niliwaandikia katika waraka wangu kuwa msishirikiane na wazinzi.

Lakini sasa nawaandikia kwamba msishirikiane na mtu yeyote anayejiita ndugu, hali akiwa ni mzinzi, au mwenye tamaa mbaya, mwabudu sanamu au msingiziaji, mlevi au mdhalimu. Mtu kama huyo hata msile naye.

1Wakorintho.5.9-11.NENO

Huwezi kuwa na akili timamu ukaona mtu anafanya uchafu huko halafu uangushie kanisa zima jumba bovu.


6) Hata huyo uliyemuona akianguka, wewe pepo ndo umemkatia tamaa na kuona ni jambo la kushikilia na kumshtaki milele. MUNGU wetu ni tofauti:

"kwa maana ingawa mtu mwenye haki huanguka mara saba, huinuka tena; lakini waovu huangushwa chini na maafa."
Methali.24.16.BHN

"Tukiziungama dhambi zetu, yeye ni mwaminifu na wa haki, atatusamehe dhambi zetu na kutusafisha kutokana na udhalimu wote."
1Yohana.1.9.NENO



7) Do not underestimate the Power of God.

"Yeyote aliyezaliwa na Mungu hatendi dhambi, kwa sababu uzao wa Mungu wakaa ndani yake, wala hawezi kutenda dhambi kwa sababu amezaliwa na Mungu."
1Yohana.3.8-9.NENO


8) I just realised inaonekana as if hakuna miujiza these 2000years kumbe miujiza ipo.

Karne ya kwanza hakukuwa na tiba ya epilepsy so YESU kuponya huo ugonjwa ni muujiza.

Karne ya 21 karne ya pornografia na kila aina ya uchafu watu hawawezi kuishi bila kushika nyeti zao, wakisikia kuna mtu wa hivyo hawaamini! Ni mujiza!

Seriously what a pathetic generation.
 
Inasemekana mwanamke ndiye anayehitaji ndoa, lakini mwanaume ndiye anayemsimanga mwanamke kwa kutokuolewa na hukuti mwanamke anamsimanga mwanaume kwa kutokuoa. Ukichunguza hili vizuri utagundua anayehitaji ndoa kuliko mwenzake ni nani 😅

Mada ingeletwa na mtu anayejielewa tungejadili serious, shida huyu mleta mada huwa ni dishi fulani so wala tusihangaike kumuelewesha chochote.

Mate, ngoja mi nimalizie chai, Mfungo mwema.
Huyu pdidy ana tone za uandishi km za da Mau. Ni da Mau wa kiumeni JF 😹😹

Wanaume wanateseka sana coz wanawake hatuwapi umuhimu. Tumegoma kutumika kwa manufaa yao.
Wamekosa wanawake wa kuwaoa ndiomana milio mingi..!!
 
Ktk mia hawazidi watatu, as long ushaanza kuonja mkopo wa sukari utautafuta hata kwa siri, ndio maana hizi story za kula kimasihara sijui ndondo zinapigwa sana na hao unao waita "....wanajiheshimu.......".Ukija huku makazini ndio kabisa vurugu tupu, si wakubwa sio wazee, wengine utawasikia sijui Celibate, kumbe wanagongwa kimya kimya na waume za watu na Marioo. Ukienda huko kwenye nyumba za ibada ndio kabisa, wengine huamini kama ndio wao wanaofanya hivyo vitu.
Leta uthibitisho wa haya madai yako. Na huo utafiti uliufanya kwa watu wangapi ,wanaishi wapi,wanafanya kazi gani,uliwapataje pataje,ulikusanya vipi data zako na hadi ukaja na hiyo idadi ya " katika mia hawazidi watatu".
 
Back
Top Bottom