Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Tulikua Tunasema sana kwa hao who are willing to listen, that if you meet someone unaona anafuture/vision imenyooka, direction, long-term plans potential, na anauwezo wakuleta chochote Mezani, through hard work and commitment, it is better mka team up, to build life together and grow as partners.

Kuliko kuendelea kuchakaza nyuchi mtaani, Bora kwa wanaume sababu maungo Yao hayasomi mileage kama yetu, Sis unaweza kuwa ni Mwanamke wa 25 yrs tu lakini down there Papa lina muonekano wa Fifty Samsingi pathetic .
Sunset is real damsel 🏃 play ur cards accordingly
Wanaweza wakaolewa mkuu. Kama wana vigezo.

Mtihani unakuja hapo kwenye kuwa na vigezo.

Hivi mkuu wewe umeolewa?
 
Huwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waah🤭
Hebu win-one njoo msikie huyu🫴🏾
Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.

Shida ni wangapi wapo hivyo?
 
Tulikua Tunasema sana kwa hao who are willing to listen, that if you meet someone unaona anafuture/vision imenyooka, direction, long-term plans potential, na anauwezo wakuleta chochote Mezani, through hard work and commitment, it is better mka team up, to build life together and grow as partners.

Kuliko kuendelea kuchakaza nyuchi mtaani, Bora kwa wanaume sababu maungo Yao hayasomi mileage kama yetu, Sis unaweza kuwa ni Mwanamke wa 25 yrs tu lakini down there Papa lina muonekano wa Fifty Samsingi pathetic .
Sunset is real damsel 🏃 play ur cards accordingly
Ww n mmoja kati ya wanamke wachache mno wenye akili timamu.

Wngn hapo kwenye comment n kufanya muendelezo wa kutetea body count zao zilizofika 100+ Ila ww umeenda straight kuukubali Ukweli

Kwa hiki ulichokiandika hapa, ww haupo kwenye ile list yangu ya wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
 
Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.

Shida ni wangapi wapo hivyo?
Si kweli, kuna dada namjua yuko 30, hata kuongea hawezi ana aibu na bado bikra na hajaolewa! Kuna wamama wana watoto jopo na bado wanaolewa!

Haya mambo hayanaga formula kijana, unaweza ukafikiri wakorofi hawaolewi kumbe vijana wenzio wanakugeuka huku wanaoa mpaka mayaya+420🫡😃

Thingz kwa ground ni different aisee!
 
Ww n mmoja kati ya wanamke wachache mno wenye akili timamu.

Wngn hapo kwenye comment n kufanya muendelezo wa kutetea body count zao zilizofika 100+ Ila ww umeenda straight kuukubali Ukweli

Kwa hiki ulichokiandika hapa, ww haupo kwenye ile list yangu ya wanawake wote ni malaya, wanatofautiana mbinu tuu
Nenda direct kwenye point mzee😂
 
Huwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waah🤭
Hebu win-one njoo msikie huyu🫴🏾
Increase your voice pliiz... T'them
 
Increase your voice pliiz... T'them
Wanaume wajifunze kudeal na trauma zao everyday wanawake this wanawake that na bla! bla! kibao.. kama umeona wanawake wa 30+ hawana interest na ndoa unawalazimishaje kuolewa! Mindset za kikoloni sana, kuoelewa ni maamuzi ya mtu na mtu! Na kama wameona tukifika huko tunawalazimisha kuoa si wakatae kwani ni watoto?

Ndio ujue wanaume wengi hawana akili, huwezi kulalamika kwanini wanawake wakifika 30s hawaolewi or wanaforce kuwaoa, nyie dilini na 20s kushuka chini acheni kuchosha vidole.. too primitive lol 😃
 
Iko ivi ndoa ni status ya nje tu , ila mwanaume atabaki kutongoza , atabaki kulala nje, na umalaya hatoacha... The only thing women gain in marriage is a status ktk jamii, I wonder why watu wanalizimishiana ndoa.... Binafsi nafikiri ni upuuzi tyu ambao unare
mbwarembwa
 
Zuleykha mambo? Nakuja pm tuyajenge
 
Mnatoa miongozo hii kwa mamlaka gani? ? ? WHO ARE YOU?

The GOD I worship has called me to freedom. I am FREE.

"Ndugu, nataka kusema hivi: Muda uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale waliooa na waishi kama vile hawakuoa."
1Wakorintho.7.29.BHN

"Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.

Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi."

1Wakorintho.7.26-28.BHN

"Kwa maneno mengine: Yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi."
1Wakorintho.7.38.BHN

"Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.

Lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. Hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye Roho wa Mungu."

1Wakorintho.7.39-40.BHN

Nitaolewa akiibuka mtoto wa MUNGU ninayempenda genuinely na si vinginevyo. It will be a KINGDOM MARRIAGE, for the LORD's Glory.

Sio umri, sio umaskini, si pressure yenu nyie wapenzi watazamaji.

Mnaaoolewa kwa pressure oleweni, wacheza kwaito tupo.

Na hizi habari za kutumika ni wishful thinking. Kama ulimla mara moja usifikiri ndo utamla siku zote. Kama ulikula kadhaa usifikiri ndo utakula wote. Viazi. Wake zenu wenyewe mnagongewa. Hahaaa.

Hatumiki mtu hapa, sio kila mtu ana pepo la kutaka kumwagiwa huo uchafu wako, nenda ukanunue, wako hadi wa buku jero, hata wa bure wapo, wamejisusa! ! !
 
Iko ivi ndoa ni status ya nje tu , ila mwanaume atabaki kutongoza , atabaki kulala nje, na umalaya hatoacha... The only thing women gain in marriage is a status ktk jamii, I wonder why watu wanalizimishiana ndoa.... Binafsi nafikiri ni upuuzi tyu ambao unare
mbwarembwa
Na hakuna kitakachokuja kubadilika! Not in this world maybe the next😅
Hiyo biashara ya shetani kutafuta malaika duniani haipo! Wanaremba upuuzi, unaolewa ili jamii ikuone wewe mke wa mtu! Haitokaa ikusaidie lolote litakalokukuta ndani ya ndoa! Utalia mwenyew na kukonda kama huna pa kwenda! Watu wengi wapo kwneye ndoa ilimradi tu, kwa vile hana jinsi, ni basi tu ila hakuna cha maana huko bwana!
 
That is bitter truth
 
Kuna imani za kidini ambazo humfanya msichana ajicheleweshe kuolewa kwa kusubiri mpaka aone mwenye viwango vya imani kama yeye ajitokeze ndio akubali
 
Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.

Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?

Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.

Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.

Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.

Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?

Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.

My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.

Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.

Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?

Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.
Wenye miaka 30+ hawajaolewa ni waongo!walipata waume ndoa ikawashinda!Labda kama Bado bikra Hadi huo umri!kama hawana walishaolewa ndoa zikashindikana hao ni watalaka!!
 
Back
Top Bottom