ERoni
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 55,729
- 131,443
Tuzungumze yote pamoja na mazao ya hiyo ndoa. Mnabeza ndoa, ila mnazaa nje, matokeo yake watoto wanakosa malezi bora na jamii inakuwa hovyo.Hapa tuzungumze kuhusu muhusika mwenyewe binafsi anaeingia kwenye ndoa.