Registered_jf
JF-Expert Member
- Nov 27, 2024
- 1,226
- 2,100
Wanaume mkae kikao mje na tamko moja. Mko inconsistent, shows how y'all are confused / unstable .Unakuta hana mvuto wa kimapenzi/mahaba, hana shape/figure nzuri ya kuvutia wanaume, nani atamtaka?
Kuna sababu kubwa sana yenye nguvu ya kwanini wanawake wazuri kimuonekano hawaolewi.
Nimeona na kusikia sana kuanzia mtandaoni mpaka mtaani watu wakishangaa mwanamke fulani ni mzuri lakini haolewi.
Wanaume wote waliopita hapo na wakakimbia sio wajinga kama watu wanavyofikiria.
Wameuona moto, wamekiona kifo, wamemuona lusifa mwenyewe, wamekunywa sana azuma, wameona dalili zote za kuishia kuwa masikini wakabwaga manyanga kwa usalama wa afya, akili na uchumi wao.
Most beautful women that attracts a lot of men have strong character issues, they have bad attitude that in the course of time...

- Natafuta Ajira
- wanawake wanawake wazuri wazuri
- Replies: 149
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki
Wengi hushangaa kwa nini kajikuta kaoa mwanamke mwenye heshima na adabu msomi lakini sio mzuri,hana umbile ambalo alitamani hapo mwanzo awe nalo mwanamke atakaemuoa.
Wanaume wengi utawakuta wameoa wanawake ambao wako nje na malengo yao ya zamani na maisha bado yanakwenda.
Wakati mwingine huwa nasema kuwa ...
"Kwa mwanamke kuolewa ni bahati,na kwa mwanaume kuoa mwanamke mwenye vigezo vya uzuri unavyovitaka ni bahati pia"
Wanawake wengi wamebahatika kuolewa,na wanaume wachache wamebahatika kuwapata wanawake ambao sifa zao za uzuti ndio zile walizozitaka mwanzo.ila wengi hawajabahatika na...

- safuher
- mapenzi mwanamke ndoa ngono wanaume wanawake
- Replies: 61
- Forum: Mahusiano, mapenzi, urafiki