Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mnatoa miongozo hii kwa mamlaka gani? ? ? WHO ARE YOU?

The GOD I worship has called me to freedom. I am FREE.


"Ndugu, nataka kusema hivi: Muda uliobaki ni mfupi. Na tangu sasa wale waliooa na waishi kama vile hawakuoa."
1Wakorintho.7.29.BHN


"Basi, kutokana na shida iliyopo sasa nadhani ingefaa mtu abaki kama alivyo.

Je, umeoa? Basi, usitake kuachana na mkeo. Wewe hukuoa? Basi, usitake kuoa.

Lakini ikiwa utaoa hutakuwa umetenda dhambi; na msichana akiolewa hatakuwa ametenda dhambi. Hao watakaooana watapatwa na matatizo ya dunia hii, lakini mimi ningependa hayo yasiwapate nyinyi."


1Wakorintho.7.26-28.BHN



"Kwa maneno mengine: Yule anayeamua kuoa anafanya vema; naye anayeamua kutooa anafanya vema zaidi."
1Wakorintho.7.38.BHN


"Mwanamke aliyeolewa huwa amefungwa na mumewe kwa muda wote mumewe aishipo. Lakini mumewe akifa, mama huyo yuko huru, na akipenda anaweza kuolewa na mtu yeyote, mradi tu iwe Kikristo.

Lakini, nionavyo mimi, atakuwa na heri zaidi kama akibaki hivyo alivyo. Hayo ni maoni yangu, na nafikiri mimi pia ninaye Roho wa Mungu."

1Wakorintho.7.39-40.BHN


Nitaolewa akiibuka mtoto wa MUNGU ninayempenda genuinely na si vinginevyo. It will be a KINGDOM MARRIAGE, for the LORD's Glory.

Sio umri, sio umaskini, si pressure yenu nyie wapenzi watazamaji.

Mnaaoolewa kwa pressure oleweni, wacheza kwaito tupo.

Na hizi habari za kutumika ni wishful thinking. Kama ulimla mara moja usifikiri ndo utamla siku zote. Kama ulikula kadhaa usifikiri ndo utakula wote. Viazi. Wake zenu wenyewe mnagongewa. Hahaaa.

Hatumiki mtu hapa, sio kila mtu ana pepo la kutaka kumwagiwa huo uchafu wako, nenda ukanunue, wako hadi wa buku jero, hata wa bure wapo, wamejisusa! ! !
Feminazi wa jf 😃
 
Ndoa ni kwaajili ya wanawake wajinga, wachovu, wasiojiamini na wasio na kipato..!!

Mwanamke anayemiliki uchumi wake binafsi, mzuri na anayejitambua kamwe hawezi kujiingiza kwenye hilo shimo..!!
Hao wanaowaomba ndoa ni mataahira 😹

Ukipinga, upinge kwa hoja sitaki lugha chafu nimefunga na sitaki kufuturu kabla ya muda..!
Vipi tena, mbona unatoa kauli nzito hivyo, kwenye ulimwengu wa mapenzi huko mitaani unakutana tu na kina balqior nini 😁 Lamomy
 
Huwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waah🤭
Hebu win-one njoo msikie huyu🫴🏾
Aliimba nani kale kawimbo

Nagamda na kaifon sio p square
 
Si kweli, kuna dada namjua yuko 30, hata kuongea hawezi ana aibu na bado bikra na hajaolewa! Kuna wamama wana watoto jopo na bado wanaolewa!

Haya mambo hayanaga formula kijana, unaweza ukafikiri wakorofi hawaolewi kumbe vijana wenzio wanakugeuka huku wanaoa mpaka mayaya+420
 
wanangoja Mr right, umri hauwezi kutumika kipimo cha utayari peke yake wa kuolewa bali ukomavu utafanya, wanawake wawe na stress kukimbizana na umri,ndiyo hizi ndoa zinazo kuwa na matatizo mengi kwasababu wanaona ni bora kuolewa umri umeenda,
 
WANAWAKE SIO KWAMBA HAWAPATI WAKUWAOA HILA WENGI WAKIWA NA MIAKA 24,25,26 MAJIVUNO MENGIII WANAWEKA VIGEZO VINGI KM WAO WANAVYO MIMI NNAKUMBUKA KUNA MDADA ALINAMBIA SIO TYPE YAKE MPK LEO ANA 30+ YUPO KWAO ,MIMI NILISHAOA YY BADO ANATAFUTA TYPE ZAKE.
 
WANAWAKE SIO KWAMBA HAWAPATI WAKUWAOA HILA WENGI WAKIWA NA MIAKA 24,25,26 MAJIVUNO MENGIII WANAWEKA VIGEZO VINGI KM WAO WANAVYO MIMI NNAKUMBUKA KUNA MDADA ALINAMBIA SIO TYPE YAKE MPK LEO ANA 30+ YUPO KWAO ,MIMI NILISHAOA YY BADO ANATAFUTA TYPE ZAKE.
sio wanawake tu hata wanaume akili ya kutaka kuoa ni hatua ya mtu anaejitambua sio kwa age hizo ulizozitaja
 
Back
Top Bottom