mr pipa
JF-Expert Member
- Jul 26, 2021
- 4,303
- 9,204
ndio aina gani mpya ya binadamu hapa dunian?Mimi ni trans
ndio aina gani mpya ya binadamu hapa dunian?Mimi ni trans
Hii hoja yako ndio niliyoitumia kumwambia dada mmoja mwenye masters na yupo 34 yrs na hajapata mchumba,pamoja na tabia zake njema kabisa,hanywi pombe,haendi vijiwe,havai hivyohovyo,ni mkatoliki mwenye kusali na ni mtu wa low profile.Pamoja na sifa zote hizo hajawahi kupata mwanaume aliyemwambia amuoe.Hatimae ameamua kufunga ndoa ya serikali na mwanaume wa kiislamu ambaendie alimtamkia kuwa yu tayari kumuoa na wamefunga ndoa ambayo haina sherehe yoyote ile na sasa bibie ni mja mzito.Mungu amsaidie ndoa yake idumuMwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.
Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?
Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.
Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.
Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.
Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?
Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.
My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.
Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.
Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?
Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.
You snapped with this one!😅Nimepiga mahesabu: nashindia tambi na mishkaki coz I can, I don't have to prove to anyone that naweza kufungua mgahawa na nitauza!
Ghafla nianze kuhangaika na masufuria just to please somebody's son. Ghafla i have to deal with inlaws. Ghafla i have to deal with someone's moods and bad characters / habits.
The worst ni kuniongezea furushi la kufua, maana machine huna!
Bado kazi ya kufungua miguu, hivi sio nyinyi mnaolia kunyimwa huko ndoani? ? Ndomana sio waaminifu kwenye hizo ndoa zenu? Sasa kama huko ndoani kwenyewe hampewi mnataka tuingie huko kufanya nini? To tolerate your cheating bums? ?
I got the answer: wanataka hosegirl wa bure wa kutunza nyumba na kulelea watoto, kuwapa wao status ya family man, plus kuchangia bills, huku wao wanakula bata na ma dame kitaa.
Aisee Bro,
Tutaolewa kwasababu tumempenda huyo Bwana na si vinginevyo.
Na Mwanamume anayekupenda hawezi kufanya haya mambo wanayofanya hawa losers kwenye comments.
Anayekupenda atataka kukujua, anakunyanyua, anakupandisha, anakung'arisha, anakubeba, anakuongeza, anakufunika.
Sasa jitu linakuja linakuona tu kama robot linalopumua halikujui wala haliko interested kukujua, linakuja kukusukuma chini, kukukanyaga, kukuburuza kwenye matope, kukudharaulisha, kukutia aibu, kukushusha thamani, kukubagaza, kukutinginya, kukushuhudia uongo, halafu linataka ulikimbilie ukafugwe nalo maisha ulitumikie, hahaa mna wazimu.
Nenda gugondio aina gani mpya ya binadamu hapa dunian?
Kama hujawahi kuwa mwanandoa usiseme hivyo, ndoa ni taasisi inayojenga jamii imara, ndoa dhaifu means jamii isiyo na maadili.Ndoa ni scam mzee wangu
Disadvantages ni nyingi kuliko advantages. Dispute.Kama hujawahi kuwa mwanandoa usiseme hivyo, ndoa ni taasisi inayojenga jamii imara, ndoa dhaifu means jamii isiyo na maadili.
mna kitu kitamu sana ndio maana mmefikiwa tenaHiki ni zaidi ya kichambo. Lol Wanawake tumefikiwa tena.
Msingi bora wa madili unaanzia ngazi ya familia, najua utabisha maana nilisikia wasukuma mmekuwa kama wahaDisadvantages ni nyingi kuliko advantages. Dispute.
Inasemekana mwanamke ndiye anayehitaji ndoa, lakini mwanaume ndiye anayemsimanga mwanamke kwa kutokuolewa na hukuti mwanamke anamsimanga mwanaume kwa kutokuoa. Ukichunguza hili vizuri utagundua anayehitaji ndoa kuliko mwenzake ni nani 😅Wao wenyewe hawana ajira za kueleweka wamepagawa, sasa hivi wenzao tumejipata tunawaza kuwekeza pesa sio poumbou basi yana makasiriko kila nyuzi kutusema..!! 😹😹😹
Wenye miaka 30+ hawajaolewa ni waongo!walipata waume ndoa ikawashinda!Labda kama Bado bikra Hadi huo umri!kama hawana walishaolewa ndoa zikashindikana hao ni watalaka!!
Aliyekwambia kuna kuteseka nani?Ni kama kuna kitu kinapungua maishani mwao wakiona mwanamke yuko peke yake. Walitaka ayavae na yeye akateseke huko![]()
Wasukuma wasabato😂🏃🏽♀️Msingi bora wa madili unaanzia ngazi ya familia, najua utabisha maana nilisikia wasukuma mmekuwa kama waha
Wasikuseme sana wewe njoo nikuoe mimi halafu basi hizi lawama ziishe maana hakuna namna tenaHuwezi kuandika kwa jazba hivi leo hii nikakupita! Sasa mkuu umemtongoza mshangaz wa 3rd floor akakukataa au? Haya basi huyo mfupi mweusi asiye na lolote ilimradi yuko wapi? Ukifika 30s ni lazima uwe mke wa mtu? Hizi mambo zimetokana na nini? Nani kazianzisha kwamba ukifika 30s lazima uwe na mume? Ukifika 30s usiwe na choices, eti chupi na aifon waah🤭
Hebu win-one njoo msikie huyu🫴🏾
Olewa wewe muda una kimbia sana 45 mpaka 50 sio mbali mwanaume hata miaka 100 anatungisha mimbaWengine tumesahau, tunakuja kukumbushwa na wachambaji humu mitandaoni.
I bet men a million dollars wasiongelee mwanamke kutokuolewa hadi wanakufa!
Hawawezi! !
Ni kama kuna kitu kinapungua maishani mwao wakiona mwanamke yuko peke yake. Walitaka ayavae na yeye akateseke huko![]()