Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Mwanamke mwenye miaka 30+ hujaolewa unasubiri nini?

Iko ivi ndoa ni status ya nje tu , ila mwanaume atabaki kutongoza , atabaki kulala nje, na umalaya hatoacha... The only thing women gain in marriage is a status ktk jamii, I wonder why watu wanalizimishiana ndoa.... Binafsi nafikiri ni upuuzi tyu ambao unare
mbwarembwa
Kolezea hapo STATUS

Sikuhizi ndoa imekua ni ndoto Kwa mtoto wa kike ukiwakuta kwenye vijiwe vyao mtu anavoiongelea iyo ndoa utasema pepo inayoshuka Kwa Mungu 🤔
 
Mwanamke ukifikisha miaka 30 bila dalili za kupata mume ndio utaelewa kwa nini Mama yako alitupilia mbali vigezo vya mwanaume wa ndoto yake na kuolewa au kuzaa na Baba yako licha ya ufupi wake.

Unauliza Mwenyekiti nataka kusema nini?

Wewe uko hapo unasema Mimi mwanaume ili nikubali anioe lazima awe na funguo tatu yaani funguo ya nyumba, funguo ya ofisi na funguo ya gari.

Unataka mwanaume mrefu, mweusi, mwembamba mwenye six pack na mashine ya 5G.

Unataka mwanaume asiyekunywa Pombe, asiyevuta sigara na asiyependa wanawake, halafu awe mweusi, mrefu na awe na pesa na awe mchamungu.

Hivi unajua hizo sifa unazozitaka ni za wanaume 10 tofauti? Unajua hao ni wanaume 10 tofauti?

Halafu unataka sifa walizogawanyiwa wanaume 10 uzipate ndani ya mwanaume 1.

My dear sikufichi utazeeka ukiwa unatumika mtaani.

Kama unafikiri ni rahisi sana mwanaume kuwa na sifa hizo hebu jijenge uwe na sifa hizo.

Kama wewe mwenyewe hadi umri huo hizi funguo tatu huna, kitu pekee unachomiliki ni simu, chupi na makeup unataka huyo mwanaume azitoe wapi?

Endelea kuchagua huku ukiendelea kutumika na kuchakazwa, kesho utakuja kusema unataka mwanaume yeyote yule ilimradi tu anapumua. Wakati huo hao wote wanaopumua watakuwa nao wameoa wale wanawake waliokuwa wanajitambua.
Waacheni wanawake waishi wanavyotaka.

Kuolewa si lazima dunia ya leo.

Wanawake wote si sawa. Kuna wengine hawataki kuolewa by choice, na hiyo ni haki yao.

Wengine hata wakiamua kuwa na mwanamme wa vigezo vyao na wasipompata wakakaa bila kuolewa ni sawa, ni haki yao. Hayo ni maisha yao. Unapolazimisha waolewe na mtu ambaye hajafikia vigezo vyao, wewe ndiye utalala na huyo mwanamme? Wewe ndiye unaolewa hapa?

Halafu unajuaje mwanamke anayekaa bila kuolewa anatumika na yeye hawatumii wanaume? Au hawezi kuishi maisha yake kivyake tu bila kutumika wala kuwatumia wanaume?

In any case, why do you care so much mambo ambayo hujaombwa ushauri hapa, ya watu wasiokuhusu, kwenye suala usilolielewa?

Wewe ushawahi kuwa mwanamke ukajua wanawake wanavyojisikia kwenye suala la kuchagua mume?

Hii si unyanyapaa, kutaka kuwa control wanawake na paternalistic mansplaining tu?
 
Tulikua Tunasema sana kwa hao who are willing to listen, that if you meet someone unaona anafuture/vision imenyooka, direction, long-term plans potential, na anauwezo wakuleta chochote Mezani, through hard work and commitment, it is better mka team up, to build life together and grow as partners.

Kuliko kuendelea kuchakaza nyuchi mtaani, Bora kwa wanaume sababu maungo Yao hayasomi mileage kama yetu, Sis unaweza kuwa ni Mwanamke wa 25 yrs tu lakini down there Papa lina muonekano wa Fifty Samsingi pathetic .
Sunset is real damsel 🏃 play ur cards accordingly
Paragraph ya kwanza ungeibold kabisa mkuu.
 
Usinikumbushe na kunichekesha 😂😂 Kuna shoga angu alifunga Kwa maombi bila kula kitu siku tatu Ili aolewe nyienyie 😂😂😂 wanaume hebu one jaman mambo gan haya 😄
Sio kama namdharau lakini that shit is rare! Atakuja mpiga gitaa wa kanisa kukutongoza aseme ni maono! Kama yupo atakuja kama hayupo endelea na maisha mengine bwana! Inakuwa kama mtu hawezi kufanya maisha ana pause kwanza apate mme🫢
 
Kama uko 30+ na si mlevi, hujawahi kuzaa na huna kiburi cha hela utaolewa kirahisi mkuu.

Shida ni wangapi wapo hivyo?
Kadri umri wa mwanamke unavyozidi kuwa mkubwa bila ya kuwa na mume, ndivyo risk ya kupata mwanamme wa ndoto zake inavyozidi kuongezeka.

Hakuna mwanaume smart akachukua mwanamke mwenye 28 na kuendelea.
 
Back
Top Bottom