Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..
Nasikia ni nyumba ndogo ya yule mkuu mwenye bifu na mh Lema. Kule uhasibu!!
Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..
Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??
ana bahati?
angekuwa mwingne angemuua na asingekuwa na kes.sheria za bank zipo waz hata sim yenyewe kuzungumza nayo ni ishu sasa ye kablock njia na kuchomoa bastola,pambav kabang yake
Kama niVai (Viola Tours), ni sawa kabisa akitenguliwa risasi coz kama ni kuitafuta basi ameitafuta muda mrefu.
Ana kikampuni chake cha kukodisha magari hapa Arusha juzi ndiyo kapata kazi kubwa ya kwenye mkutano wa mambo ya Habari, inasemrkana kuna Mkula kule bongoNyosso ndiyo anamzibua kisamvu na kumpa hizi tender za kukodi magari kwenye mikutano.
Sasa hapa nadhani kuna kasalio amelipwa ndiyo nyodo zikazidi coz hata akiwa normal nyodo zipo ila za kulazimisha.
Hii risasi ameitafuta yeye mwenyewe tena imechelewa sana kumkuta, nextime italenga kunako moyo, mwanamke shauzo mshamba mjinga sana, full kujishebedua kwa wakula kwenye kampeni za CCM utamkuta anarusha mdhuti huko front wakula wamsome.
Kuanzia jana nasikia alipita hapo CRDB mapato branch akawa analeta ujingajinga wake huo leo mafonso wakamtolea uvivu, ni kifo alikuwa anatafuta ana bahati sana hajafa.
P u mb a v u sana huyu mdada shauzo.
mama atatumia bali vibaya na kumfungulia kesi askari......!!!!!
Angepewa ya kiuno kiteguke.
Ahsante mkuu kwa taarifa,hizi pesa za ukubwani zina matatizo sana,ashukuru hajafa
Pesa ya kazi halali unaipata kwa jasho na akili, hadi kuja kuipata unakuwa uashaanza kuizoea hali ya kuwa na pesa.
Hela ya kupata ghafla au kwa deal ndio huzuzua
Kumuua asingejutia bali hilo ndiyo jambo pekee ambalo kitamfanya ajutie maisha yake yote maana atakuwa kila akiliona kovu la bunduki ni lazima asema asante bila ya wewe nisingekuwepo. Mungu kaamua kumfundisha tu kwamba kiburi na dharau havifai.Wangemua kbsa
Kama huyo mama ni mwanaJF akipitia huu uzi ni wazi atajijua hana thamani kabisa kwa ujinga alioufanya.
Life style ya Arusha ni ya kipekee
Labda ni bilionea
Amewahi kwenda shule? Nauliza kwa kuwa kama ana kisomo hata kama angekuwa na fedha kiasi gani au hata kama ni hawara wa kigogo bado asingezuzuka. Siku yake ya kufa ilikuwa bado. Nampongeza sana huyo askari. Ana self control ya hali ya juu sana. Vinginevyo baada ya kumpiga mkono na kumnyang'anya pistol angempiga na boot zake. Huyu mama hana adabu.