miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,104
ninavyoijua mimi nchi yetu utasikia huyo askari kawekwa ndani.
mama atatumia bali vibaya na kumfungulia kesi askari......!!!!!
ninavyoijua mimi nchi yetu utasikia huyo askari kawekwa ndani.
Ahsante mkuu kwa taarifa,hizi pesa za ukubwani zina matatizo sana,ashukuru hajafa
Mimi naona wangemla tu kabang yake hapohapo hadharani
ingekuwa ni mwanaume angestahili apigwe ya wapi? unaoneka na kaelement cha mfumo dume kuwashusaha wanawake si sawa.!!!!!!Askari huyo ni mpumba-vukabisa na kama wako wawili wote ni mbwa koko...kwa nini wamempiga kiprofeshno hivyo?mwanamke amekera huyo mpaka noma mi siwapendi polisi ila kwa hili wangempiga risasi tatu..baada ya mkono wangepiga ya goti la kulia na ankle ya kushoto awe mlemavu wa kujitakia mbwa huyo...sijaipenda adhabu waliyoitoa polisi hawa wajinga ilikuwa ndogo sana....isitoshe ni mwanamke kawaletea kiburi cha kishenzi wanaume...
Atakuwa na pesa afu hajaolewa na wala hana boyifurendi
Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..
nimemis sana chuggaMwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.
Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.
Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.
Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.
Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.
Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.
Ha ha ha ha! hi hi hi hi!angeweza akafurahia, unajua unamkomoa kumbe mwenzio ni burudani ha ha ha ha ha ha!!!!
nimepata taarifa ana kampuni ya Tours Viola midolari imempa bichwa pole zake kwa maumivu yakujitakia
Ukifanya fujo utapigwa tu!
Huyo mwanamke nadhan alitaka kuonyesha ubabe labda anajuana na viongozi wa juu wa serikali au watu maarufu sana labda hata wa polisi hivyo akapata kiburi cha hata kutaka kutishia polisi kwa bastola. umaarufu na nyodo vikitimika vibaya matokeo yake ndio hayo. Ona sasa ameshapata jeraha ambalo kalitafuta yeye mwenyewe tena kwa nguvu zote. Ulishaambiwa huruhusiwi kupaki gari hapo tena kwa ustaarabu bado unaleta jeuri, na kujibu mbovu naamini walichofanyiwa na polisi alistahili afanyiwe hivyo.
Askari huyo ni mpumba-vukabisa na kama wako wawili wote ni mbwa koko...kwa nini wamempiga kiprofeshno hivyo?mwanamke amekera huyo mpaka noma mi siwapendi polisi ila kwa hili wangempiga risasi tatu..baada ya mkono wangepiga ya goti la kulia na ankle ya kushoto awe mlemavu wa kujitakia mbwa huyo...sijaipenda adhabu waliyoitoa polisi hawa wajinga ilikuwa ndogo sana....isitoshe ni mwanamke kawaletea kiburi cha kishenzi wanaume...