Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Siku hizi hawa wanawake sijui wanavuta bangi au ni madawa ya kulevya.
 
Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..

kama umeotea vile,..nimetoka hapo punde tu_inasadikiwa ni chakula ya mzee wa jiji......mkuu wa kikoa
 
Huyo askari anatakiwa kupongezwa.....uwezo wa kulenga mkono wa mtu sio kazi kidogo, hasa ukiwa na SMG.
Ingekuwa maneno mengine kabisa kama angemlenga kifuani au tumboni.
 
Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??
 
kama umeotea vile,..nimetoka hapo punde tu_inasadikiwa ni chakula ya mzee wa jiji......mkuu wa kikoa

Nimempenda huyo afande......ana shabaha nzuri......inaelekea anaweza kulenga vitu mbali mbali kwa ufasaha hasa........hebu rudi hapo TRA uulize.......afande anakunywa biya.......?.......nataka tukutane nae Milestone baadae......
 
Ahsante mkuu kwa taarifa,hizi pesa za ukubwani zina matatizo sana,ashukuru hajafa
ishara nyingine kuwa wenye pesa wengi siku hizi wana na bastora huku tukisahau kuwa kiasi kikubwa cha pesa kiko mikononi mwa watu wasiostahili.
 
Kwani bastola anashikia miguuni?? Kampiga mkono ambao ulishika bunduki.

mijitu mingine nuksi sasa kama anatembea sijui kuzaa na kigogo inahusiana nini na kazi ya mtu angempa ya kifua kabisa matambo mengine sio alitamba kwa askari ili nini sifa zinaua.........utoaji wa silaha holela hata kwa wendawazimu ndio unagharimu yote haya
 
Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??

Mkuu bastola sio kisu au panga! Hata uwe karateka mwenye dani dozen mbele ya risasi unakuwa sisimizi tu.

Alichokifanya huyo afande ni sahihi kabisa kwa scene ilivyokuwa.
 
wapigwe tu watu aina hii,askari huyu ni bora kuliko yule aliyempiga shekhe ponda.
 
Back
Top Bottom