Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Unatukumbushaje mbali...huyu alikua kimada wa bosi wa mkoa aliyetumbuliwa kama jipu lililoiva
Yule alietumbuliwa bado anauguza majibu huyo vailoth mwenye taarifa zake je bado yuko ICU
 
Habari ya miaka 5 nyuma hii...nakumbuka huyo mwanamke alikuwa na kiburi cha mkuu wa mkoa wakiti ule Mh Muhongo ndiye alikuwa hawara yake huyu dada sasa alipambana na askari Polisi wenye maadili ya kazi yao.

Alilazwa pale Selian hospital na baadaye kukimbizwa Nairobi Kenya kwa matibabu zaidi na waandishi wa habari walipigwa mkwara kutoa hiyo habari.
 
Back
Top Bottom