Teh teh teh....
Mabilionea wa Arusha bana...
Kuna jamaa yangu alikuwepo hapo nasikia demu ni mzuri balaa,utafikiri ameshushwa kutoka mbinguni.Hizo nyodo zake huenda zimechangiwa na huo uzuri wake na hivyo vijisenti anavyohongwa na wazee wazito.Chezea papuchi za wanene zinakuwaga na nyodo mbaya.Ila askari nampa big up kubwa sana kwa weledi wake manake ameutungua ule mkono uliokuwa umeshika bastola na kisha kwenda kuichukua bastola ya huyo nyapu.
Ni graduate toka Mt. Meru University
Poa kabisa huyo Mama kabang yake ndio ilete jeuri kwa Askari aliyesota zamu, halafu yeye malipo yake atoke na ka-revolvaHuo ndiyo ulimbukeni wa hela, sikufanikiwa kupata namba ya gari lakini tukio hilo limewasikitisha wengi sana kwa jinsi mama huyo alivyoonesha kiburi.
Kuna jamaa yangu alikuwepo hapo nasikia demu ni mzuri balaa,utafikiri ameshushwa kutoka mbinguni.Hizo nyodo zake huenda zimechangiwa na huo uzuri wake na hivyo vijisenti anavyohongwa na wazee wazito.Chezea papuchi za wanene zinakuwaga na nyodo mbaya.Ila askari nampa big up kubwa sana kwa weledi wake manake ameutungua ule mkono uliokuwa umeshika bastola na kisha kwenda kuichukua bastola ya huyo nyapu.
[HANA UZURI WOWOTE, TIPWATIPWA FULANI SANAMU LA MICHELIN HALIJULIKANI MBELE WA NYUMA KIUNO WALA MGONGO, LIKO KAMA MNYAMA FULANI USIOJULIKANA.]
wewe unamfahamu vizuri Viola......najaribu kutafuta picha yake nakosa.....ili wadau wajionee mwanamke mjinga anayetudhalilisha wana Chugga tulio na staha...........
Safi sana atandikwe 2 ujue hawa wanawake siku hizi wananyodo sana .
Wanaliwa kabang na kuhongwa pesa na kuanza kutusumbua bure hata mm huwa nawatamani sana
Kaonyesha weledi sana.
wewe unamfahamu vizuri Viola......najaribu kutafuta picha yake nakosa.....ili wadau wajionee mwanamke mjinga anayetudhalilisha wana Chugga tulio na staha...........
...tunaomba picha yake tafadhari!
![]()
Eneo la TRA, jijini Arusha.
wewe unamfahamu vizuri Viola......najaribu kutafuta picha yake nakosa.....ili wadau wajionee mwanamke mjinga anayetudhalilisha wana Chugga tulio na staha...........
...jina lake halisi anaitwa "Valieth Mathias"