Ni kweli wana jamiiforum, mwanamke aliyepigwa risasi leo hapo nje ya benk ya CRDB ni mke wa mkuu wa mkoa wa Arusha. Kaazi kwelikweli!!!
Ahsante mkuu kwa taarifa,hizi pesa za ukubwani zina matatizo sana,ashukuru hajafa
Duh, kwa mara ya kwanza sijaona pointi ya kumponda askari huyo, wengi mmechukizwa na mmepongeza soja. Hii ntaiweka kwenye hansard zangu. Yaani JF kumsifia askari bila kumhusisha na CCM? This is new. Na huyo mwanamke lzm ana kesi ya kujibu na bunduki ndo ataisahau kuimiliki
Angemtandika risasi ya papuchi tu maana amezidisha dharau
We ni mse*** kabisa. Mtu kamfuata askari na silaha ya moto halafu ulitaka askari atumie makalio? ungeenda wewe ukaonyesha hizo mbinu zako unazozijua. Kuangalia movie za bruce lee vibandani kusikufanye uote ndoto za mchana we mbulula. Umenikera sana na hii comment yako. Shiiit.. Sijui unafikiri kwa kutumia ma------???!!! Mijitu mingine ya ajabu sana. Usije na comments zako za kifala bila kufikiri wakati mwingine. PAMBAF!!!!Hivi maaskari wetu hawakufundishwa/hawafundishwi namna nyingine ya kupambana na hali ya hatari pasipo matumizi ya silaha za moto??
We ni mse*** kabisa. Mtu kamfuata askari na silaha ya moto halafu ulitaka askari atumie makalio? ungeenda wewe ukaonyesha hizo mbinu zako unazozijua. Kuangalia movie za bruce lee vibandani kusikufanye uote ndoto za mchana we mbulula. Umenikera sana na hii comment yako. Shiiit.. Sijui unafikiri kwa kutumia ma------???!!! Mijitu mingine ya ajabu sana. Usije na comments zako za kifala bila kufikiri wakati mwingine. PAMBAF!!!!
Ya mguu ya nini? mi ningemfumua ubongo kabisa tuwapunguzie kero raia wengine mtaani.unayo sema ni ya kweli nasikia amezaa na mkuu wa mkoa mmoja ndiyo inampa jeuri.lakini nadhani huyo askari angempa ya mguu ashindwe kutembea kabisa
Siku nyingine utajifunza, kisha kufikiri kabla ya kuuliza. Swali lako halikuhitaji majibu ya kistaarabu kwa kuwa ulilenga kukosoa maamuzi yaliyofanywa na huyo askari...Nafikiri ukuelewa nilichokiandika. Nimeuliza tu swali ambalo lingejibiwa kistaarabu, ila nashangaa umenishushia FUSO la Ma.tu.si! Nakusamehe bila garama.
Ahsante mkuu kwa taarifa,hizi pesa za ukubwani zina matatizo sana,ashukuru hajafa
Usiombe ukutane na mdada aliyebahatisha kupata fedha ukubwani utajuuuta na apigwe tu.
aya mkuu umeshindaSasa unakataa kuwa mwanamke sio mwanaume au!!!!mlitokana na sisi ni mbavu moja tuu ilikuumba!!!!umesababisha maasi tangu dunia inaumbwa mpaka leo hii na bado haujifunzi tuu ujutie makosa yako....ndio nina mfumo dume kwa sababu bible na quran vinaniambia wanawake waongozwe na wanaume na wawe watiifu kwa waume!!!!basi kama vipi huyo mwanamke wangempiga risasi za hovyo hovyo amwagike utumbbo na sura waivuruge kama nyama buchani!!!