Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Kuna jamaa yangu alikuwepo hapo nasikia demu ni mzuri balaa,utafikiri ameshushwa kutoka mbinguni.Hizo nyodo zake huenda zimechangiwa na huo uzuri wake na hivyo vijisenti anavyohongwa na wazee wazito.Chezea papuchi za wanene zinakuwaga na nyodo mbaya.Ila askari nampa big up kubwa sana kwa weledi wake manake ameutungua ule mkono uliokuwa umeshika bastola na kisha kwenda kuichukua bastola ya huyo nyapu.

[HANA UZURI WOWOTE, TIPWATIPWA FULANI SANAMU LA MICHELIN HALIJULIKANI MBELE WA NYUMA KIUNO WALA MGONGO, LIKO KAMA MNYAMA FULANI USIOJULIKANA.]
 
Mahawara wa magamba wanahongwa vipesa vya kifisadi wanaliwa kabaang ndio wanatusumbua uswahilini.
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Apigwe tu, tumechoka
 
Huyo mama alidhani anaenda kumtishia house boy wake?Au ana asili ya lile kabila karibu na mto kikavu

Ha ha ha ha ha haaaaaaa! Hata nami nimepata wazo hilo ya kwamba atakuwa na uhasili ya uzawa. Sasa atajutia maamuzi yake.

Mzee wa Rula huyo mwanamke baada ya kulegezwa nguvu hakutaka kujitetea? Ama aliona bastola ni mzigo!

Kha ha ha ha ha haaaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Arusha mabilionea wengi huyu mama kampuni yake ya Tours nae bilionea.
 
HApo ndipo askari alipokosea ,hicho kishetani jike kilidhamiria kuua,ilitakiwa kichapwe ya kichwa si ya mkono!
 
Sasa unakataa kuwa mwanamke sio mwanaume au!!!!mlitokana na sisi ni mbavu moja tuu ilikuumba!!!!umesababisha maasi tangu dunia inaumbwa mpaka leo hii na bado haujifunzi tuu ujutie makosa yako....ndio nina mfumo dume kwa sababu bible na quran vinaniambia wanawake waongozwe na wanaume na wawe watiifu kwa waume!!!!basi kama vipi huyo mwanamke wangempiga risasi za hovyo hovyo amwagike utumbbo na sura waivuruge kama nyama buchani!!!
ingekuwa ni mwanaume angestahili apigwe ya wapi? Unaoneka na kaelement cha mfumo dume kuwashusaha wanawake si sawa.!!!!!!
 
Ndiyo madhara ya kuwa na magari na pesa za kupewa na wanaume bila hata kujua zimetoka wapi.
 
Atakuwa mke au hawara wa kigogo flani ndo akaamua kuleta za kibosibosi maeneo sio yake..

Ni kweli kabisa hyo mwanamke jina tunalifadhi ni hawara wa mkuu wa mkoa arusha bwana magesa mulongo ndie anampa kiburi kujifanya yupo juu ya sheria.. Na hyo mwanamke alimaliza elimu yake mount meru university arusha..
 
Akajifunze utii wa sheria bila shuruti huyo mwanamke...Kazi Nzuri kaifanya Soja apandishwe cheo
 
Halafu watu wengine hulaumu polisi kuwa wakorofi ili hali wao wanashindwa kutii sheria. Huyo mama ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya silaha na kuwazuia polisi kufanya kazi yao na uvamizi wa kituo cha polisi ili ajifunze na wengine wapate somo juu ya ukomo wa pesa. Ikibidi achunguzwe huenda jambawazi!

Hiyo kesi itamalizwa kiutu uzima labda kama angekuwa mke wa lema..
 
"apigwe tu hakuna namna nyingine" kwa sauti ya Pinda
 
Mwanamke mmoja amepigwa risasi ya mkononi kutokana na uzembe wake mwenyewe.

Mwanamke huyo alifika maeneo ya TRA ambako kuna tawi la CRDB - Mapato na kupaki gari eneo lisiloruhusiwa. Askari walimuelekeza eneo hilo haliruhusi kupaki gari lakini alikataa na kuingia ndani ya bank kwa ajili ya shughuli za bank anazozijua yeye.

Askari hao walimfuata tena ndani na kumwambia akatoe gari lakini mwanamke huyo kwa nyodo alimjibu askari huyo aachane nae.

Kuona hivyo askari walikwenda kutoa upepo kwenye matairi ya gari yake ili kama alikuwa na watu wengine wenye nia mbaya wahindwe kutekeleza mpango wao.

Yule mwanamke aliporudi na kukuta gari yake imetokewa upepo alliukiza watu na kuambiwa ni askari waliotoa upepo. Basi alikwenda moja kwa moja kwenye gari na kutoa bastola kisha akaenda kwa askari polisi waliopo huku akiwatisha atawaua. Katika hali ya taharuki yule mwanamke akakoki bunduki kwa lengo la kuitumia na ndipo askari akipomuhai risasi ya mkononi.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio mwanamke huyo hajulikani alipata wapi ujasiri wa aliyoyafanya.

Natumaini huyo ni miongoni mwa mabilionea wa Arusha! te te te te te!
 
Naomba kujua hatma ya polisi kuhusu ajira yake, mnamkumbuka yule security wa Ngeleja!
 
Back
Top Bottom