Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Mwanamke mmoja apigwa risasi TRA jijini Arusha

Labda ana uhusiano na MKUU WA MKOA maana wote kiburi ndio tabia yao, Huyo askari tunaomba wanaomfahamu iwapo litatokea lolote juu yake tuwekeeni hapa JF.

Kibogo,
Wewe shehee Yahaya nini! Haupo mbali kabisa. Kiburi alichokuwa nacho ni kwa ajili ya huyo mkuu wa kikoa. Kutoka kwenye gari hadi walipo askari ni mbali kidogo, kwa sababu analindwa na kiongozi huyo akaona anaweza kuwapiga bastola kabla wao hawajamgeuzia kipigo.

Ushauri wangu kwa Usalama wa Taifa, tuangalie watu tunaowapa bastola maana zinatumika kama visu siku hizi. Hata mkiwa kwenye ubishani wa mpira mtu anatoa bastola na kupiga ovyo!
 
Kuna jamaa yangu alikuwepo hapo nasikia demu ni mzuri balaa,utafikiri ameshushwa kutoka mbinguni.Hizo nyodo zake huenda zimechangiwa na huo uzuri wake na hivyo vijisenti anavyohongwa na wazee wazito.Chezea papuchi za wanene zinakuwaga na nyodo mbaya.Ila askari nampa big up kubwa sana kwa weledi wake manake ameutungua ule mkono uliokuwa umeshika bastola na kisha kwenda kuichukua bastola ya huyo nyapu.
 
Ana bahati leo sipo doria. Ningepiga ya kiuno
 
Nipeni namba ya huyo afande nimtumie ki M PESA cha pongezi.
Hizi pesa za kuonea ukubwani zinawazuzua sana watu, kwa nn afande hakuikunja kidogo ipige shingo?
 
Halafu watu wengine hulaumu polisi kuwa wakorofi ili hali wao wanashindwa kutii sheria. Huyo mama ashtakiwe kwa matumizi mabaya ya silaha na kuwazuia polisi kufanya kazi yao na uvamizi wa kituo cha polisi ili ajifunze na wengine wapate somo juu ya ukomo wa pesa. Ikibidi achunguzwe huenda jambawazi!
 
kumbe unamjua? ana nyodo balaaaa yule mwanamke, amekiona cha moto leo.
duuuh!nilivyoisoma tu habari kabla hata sijafika chini akilini ikanijia sura ya yule mama kwa sababu ya tabia zake......kumbe ni yeye....aaaah...yule mama ana nyodo balaaaaa...........nishamshuhudia zaidi ya mara tatu analeta fujo zisizo na sababu.........
 
Kuna jamaa yangu alikuwepo hapo nasikia demu ni mzuri balaa,utafikiri ameshushwa kutoka mbinguni.Hizo nyodo zake huenda zimechangiwa na huo uzuri wake na hivyo vijisenti anavyohongwa na wazee wazito.Chezea papuchi za wanene zinakuwaga na nyodo mbaya.Ila askari nampa big up kubwa sana kwa weledi wake manake ameutungua ule mkono uliokuwa umeshika bastola na kisha kwenda kuichukua bastola ya huyo nyapu.
bora umesema kabisa nasikia.........
cc... Nyamayao
 
Last edited by a moderator:
Kibogo,
Wewe shehee Yahaya nini! Haupo mbali kabisa. Kiburi alichokuwa nacho ni kwa ajili ya huyo mkuu wa kikoa. Kutoka kwenye gari hadi walipo askari ni mbali kidogo, kwa sababu analindwa na kiongozi huyo akaona anaweza kuwapiga bastola kabla wao hawajamgeuzia kipigo.

Ushauri wangu kwa Usalama wa Taifa, tuangalie watu tunaowapa bastola maana zinatumika kama visu siku hizi. Hata mkiwa kwenye ubishani wa mpira mtu anatoa bastola na kupiga ovyo!
Mkuu unayosema ni kweli kabisa.

Kuna jamaa mmoja kutoka mikoa ya kanda ya ziwa ana Bar yake kule Kitunda inaitwa Jaluo Bar. Jamaa huwa anazungukazunguka pale kwenye Bar yake na mguu wa kuku kiunoni halafu shati linakuwa kwa ndani kama amechomekea hivi.

Vijana wanaangalia mpira, wakishangilia goli tu jamaa anawasha kitu hewani, kisa yeye ni diwani.

Nilipita siku moja tu pale kula supu ya ulimi. Kuona hivyo sijawahi kurudi tena.
 
Kama niVai (Viola Tours), ni sawa kabisa akitenguliwa risasi coz kama ni kuitafuta basi ameitafuta muda mrefu.
Ana kikampuni chake cha kukodisha magari hapa Arusha juzi ndiyo kapata kazi kubwa ya kwenye mkutano wa mambo ya Habari, inasemrkana kuna Mkula kule bongoNyosso ndiyo anamzibua kisamvu na kumpa hizi tender za kukodi magari kwenye mikutano.
Sasa hapa nadhani kuna kasalio amelipwa ndiyo nyodo zikazidi coz hata akiwa normal nyodo zipo ila za kulazimisha.
Hii risasi ameitafuta yeye mwenyewe tena imechelewa sana kumkuta, nextime italenga kunako moyo, mwanamke shauzo mshamba mjinga sana, full kujishebedua kwa wakula kwenye kampeni za CCM utamkuta anarusha mdhuti huko front wakula wamsome.
Kuanzia jana nasikia alipita hapo CRDB mapato branch akawa analeta ujingajinga wake huo leo mafonso wakamtolea uvivu, ni kifo alikuwa anatafuta ana bahati sana hajafa.
P u mb a v u sana huyu mdada shauzo.
 
Inasemekana huyo mama ni mwanamke wa Magesa, na wana mtoto. Askari wanaolinda kwa Magesa wanamjua. Baada ya kuona askari wametoa upepo gari yake, uyo mama akampigia simu Magesa kumshtaki askari. Magesa alia-act professional, akamkaripia uyo mama why amepaki asipotakiwa kupaki. Sasa uyo mama kwa hasira ndo akatoa bastola, kisha akalambwa yeye.
 
Nafurahia kuona kumbe askari wetu ni watu wazuri tu wasipotumika na maccm.....
 
Kama amekiuka amri halali ya polisi mi nasema apigwe tu maana tumechoka
 
Askari huyo ni mpumba-vukabisa na kama wako wawili wote ni mbwa koko...kwa nini wamempiga kiprofeshno hivyo?mwanamke amekera huyo mpaka noma mi siwapendi polisi ila kwa hili wangempiga risasi tatu..baada ya mkono wangepiga ya goti la kulia na ankle ya kushoto awe mlemavu wa kujitakia mbwa huyo...sijaipenda adhabu waliyoitoa polisi hawa wajinga ilikuwa ndogo sana....isitoshe ni mwanamke kawaletea kiburi cha kishenzi wanaume...

Mwee mwana wewe, kwani umekula yale maua matamu ya bob marley
 
Back
Top Bottom